CRDB kuondoa Salary advance imekaaje?

Vinginevyo hata kazi utaichukia.Binafsi sijawahi fanya hii kitu.Bora nivumilie tu
 
Hapo "ndio basi tena" panatesa sana ila kuchomoka ndio mtihani
 
Ni ngumu sana kuacha,hii kitu nilijiunga na songesha ya mpesa nikafikia hadi limit ya elfu 48 nashukuru nimetamana ma hii mambo staki hata kuiskia
 
Ni ngumu sana kuacha,hii kitu nilijiunga na songesha ya mpesa nikafikia hadi limit ya elfu 48 nashukuru nimetamana ma hii mambo staki hata kuiskia
Mm sjawalipa mwaka sasa songesha na wameniambia wataacha kukuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…