kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa wafanyakazi wake ili kuongeza ufanisi wa huduma.
Katika kikao hicho hoja iliyotawala ni matumizi ya sim hasa smartphone unavyopunguza ufanisi wa kazi na malalamiko mengi toka kwa wateja kuhusu wafanyakazi kuwa busy na sim zao kuliko kuhudumia wateja!
Ili kukabiliana na swala hilo uongozi umeafikia kutowaruhusu wafanyakazi wake kuingia na smartphone kazini badala yake wafanyakazi wote watapewa sim za kawaida ambazo wanaweza kuzitumia pindi wawapo kazini! Kila mfanyakazi atapewa sim mbili zisizo za smartphne watazotumia wawapo kazini!