CRDB kupiga marufuku smartphone kwa wafanyakazi wake.

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa wafanyakazi wake ili kuongeza ufanisi wa huduma.

Katika kikao hicho hoja iliyotawala ni matumizi ya sim hasa smartphone unavyopunguza ufanisi wa kazi na malalamiko mengi toka kwa wateja kuhusu wafanyakazi kuwa busy na sim zao kuliko kuhudumia wateja!
Ili kukabiliana na swala hilo uongozi umeafikia kutowaruhusu wafanyakazi wake kuingia na smartphone kazini badala yake wafanyakazi wote watapewa sim za kawaida ambazo wanaweza kuzitumia pindi wawapo kazini! Kila mfanyakazi atapewa sim mbili zisizo za smartphne watazotumia wawapo kazini!
 
Ni namna nzuri maana akitoka kazini anakwenda kubofya WhatsApp kwake sio kazini foleni ndefu ana chat na watu wake huku anasema mtandao ha kuna.
 
Simu waache nje ya ofisi mpk mda wa kazi uishe ndio wachat wakipewa ata philips savy watachat tuu so dawa ni kuzuia wasiingie na simu kazini

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ni namna nzuri maana akitoka kazini anakwenda kubofya WhatsApp kwake sio kazini foleni ndefu ana chat na watu wake huku anasema mtandao ha kuna.

Smartphne zimepunguza ufanisi wa kazi!
 
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa wafanyakazi wake ili kuongeza ufanisi wa huduma.

Katika kikao hicho hoja iliyotawala ni matumizi ya sim hasa smartphone unavyopunguza ufanisi wa kazi na malalamiko mengi toka kwa wateja kuhusu wafanyakazi kuwa busy na sim zao kuliko kuhudumia wateja!
Ili kukabiliana na swala hilo uongozi umeafikia kutowaruhusu wafanyakazi wake kuingia na smartphone kazini badala yake wafanyakazi wote watapewa sim za kawaida ambazo wanaweza kuzitumia pindi wawapo kazini! Kila mfanyakazi atapewa sim mbili zisizo za smartphne watazotumia wawapo kazini!

Uongo mtupu
 
1.Wamechelewa
2.Hiyo Option ya kuwanunulia simu nadhani ni wizi wanataka wafanye usikute simu moja ya tochi ukaambiwa laki 3 na nusu.
 
Kuna mtoto mmoja yuko pale Azikiwe Premier namtamani sana toka siku nyingi ila juzi nimemkuta na engagement ring sijaelewa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamani, utandawazi usitumalize. Mbona hawajiulizi, inakuwaje mtu anatoka Bank na hela, anakabwa njiani na kuambiwa leta kile kiasi flani ulitoa bank paleee?
Hizo sm kazini za nini mahali pa hela zetu? Tumemwajiri azitunze, kazi yake ni kutunza fedha yetu si kuchati na kurongoshea majambazi.
Hakuna chati yeyote ni wizi mtupu. Wana magenge yao kama vijana wa IGP walivyo na magenge yao kinyume na sisi raia.
 
Kuna mtoto mmoja yuko pale Azikiwe Premier namtamani sana toka siku nyingi ila juzi nimemkuta na engagement ring sijaelewa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Ni swaga tuu anapima imani yako.... Keep fighiting!!
 
Back
Top Bottom