CRDB kupiga marufuku smartphone kwa wafanyakazi wake.

Tunahitaji mtu anayeweza kufikiria kama ww! Nahisi hii ni comment ya kufunga huu mjadala!

Mjadala kwa huu wehu! Aisee kumbe na wewe walewale...dah! Mi nachosema sio wapigwe ban kabisa hapana. Tunahitaji watafute utaratibu mzuri. We unajisikiaje unashinda mchana kutwa bila kusikia sauti ya my wife wako? Huko kazini nikwambie tu huwa kuna mahazibendi wao na my wife wa ofisiofisi so akikubusu asubuhi kisawasawa nadhani ni kweli huwezi kumkumba my wife wako ambaye kwanza ushamzoea na umeishi nae miaka sita ana watoto wawili na mmeondoka hom hamuelewani hata mwaka unaweza isha, ila sema kweli vp mchepuko wako nao huwa huwasiliani nao mchana kutwa? Kuwa prudent
 
Haupo sahihi hapa. Hii ni decision sahihi na muafaka. Na nyie mmezidi kuwatukuza hao wazungu..kila kitu ooh wazungu wazungu! Kwanza kwenye kampuni za madini walizokataza matumizi ya madini ukiwa ndani mgodini ni za waswahili?
 
Na wewe ni ...matumizi ya madini ukiwa ndani...ama matumizi ya simu ukiwa ndani...
Ujue broo mi nina my wife wangu pale bank sasa akina massa na washkaji kibao wanashabikia na wewe ukiwemo kwamba eti ban ya simu itangazwe bank yaani sijui ntafanyaje maana my wife wangu yuko mule! Mi nalaani woote mnaosema simu zisitumike. Halafu wewe broo acha ubishi bila mzungu utaweza nini kwa mfano? Sio nyie hawahawa wazungu ndo wamewafundisha na ustaarabu wa kuvaa nguo? Mlikuwa wa mnyama kama ngedere miaka hiyo. Nahasira sana Leo...
 
Kuna bank fulani, nadhani EXIM ukiingia tu ndani network inakata kwa wote wafanyakazi na wateja. Nadhani hiyo system ndo nzuri. Niliiona dar ila mza sijanotice. Siku nyingine nikienda nitscheck

mbona jana nikikuwa nachart na mtu huku nasubir token yangu iitwe pale EXIM mlimani city!
 
sasa CCTV ZIMEJAA KIBAO KUMBE TOY TU.....NACHELEA KUSADIKI HABARI HII...
 
Na benki nyingine ziige. wasiruhusiwe kabisa kuja na simu ofisini , wafungiwe intercom tuu kwa mawasiliano ya ndani kwa ndani ya kiutendaji ofisisi
 
Na benki nyingine ziige. wasiruhusiwe kabisa kuja na simu ofisini , wafungiwe intercom tuu kwa mawasiliano ya ndani kwa ndani ya kiutendaji ofisisi

Babu eehh mbona unakurupuka? Umeoa? Leo lazima nile ban naona
 
Sijibizani na vichaa! Kama wewe na mkeo hamchat basi mna problem! Unagegedewa ujue. Lazima hapa tuelewane ukileta dharau nakutukana matusi ya nguoni nile ban!

k**haa sio lazima avae pichu kichwani!
 
Haupo sahihi hapa. Hii ni decision sahihi na muafaka. Na nyie mmezidi kuwatukuza hao wazungu..kila kitu ooh wazungu wazungu! Kwanza kwenye kampuni za madini walizokataza matumizi ya madini ukiwa ndani mgodini ni za waswahili?

Mkuu justfy mawazo yako otherwise sasa, ishu ya wazungu tuiache tu mi nafanya kazi na kuishi na wazungu ndio mana nimetoa huo mfano isikariri mkuu
 
Mkuu justfy mawazo yako otherwise sasa, ishu ya wazungu tuiache tu mi nafanya kazi na kuishi na wazungu ndio mana nimetoa huo mfano isikariri mkuu
Unahitaji justication ya nini hapo? Kuwa matumizi ya smartphone kazini yanashusha performance ya kuwahudumia wateja? Kama ni hili lipo wazi, na decision ya kuzuia matumizi yake imelenga kuondo mzizi wa tatizo. Pendekezo lako la kutumia cctv sio sahihi kwasababu unaacha chanzo cha tatizo unataka kutibu dalili. Period
 
Msigwa achana na hili jamaa! Sijui linawaza nn
 
wawekewe visanduku kwa ajili ya kila mtu kihifadhi simu zake awapo ofcn na akitoka anafungua anatoa simu yake anaendelea
 
mbona jana nikikuwa nachart na mtu huku nasubir token yangu iitwe pale EXIM mlimani city!

Ndo maana nimesema NADHANI.Not sure if it is EXIM au bank nyingine. Ipo mtaa wa Ohio hatua chache kabla hujafika Wizara ya Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…