ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Niko Tazara hapa mambo ni hayo hayoGreat thinkers.
Inasikitisha sana, yaani hela yangu, nataka kutoa halafu eti mfumo haufanyi kazi. Hivi MD wa CRDB anafanya nini?????
Naichukia sana CRDB Bank
Hivi nchi ili jambo liende lazima uwe na wasanii pichapicha nkNsekela yuko busy kupiga picha na kina diamond[emoji23]
HahahaCRDB ilienda na kimei