CRDB Mungu awalaani!

CRDB Mungu awalaani!

Waliniambia watu fulani kwamba hela ni yako mpka iwe mkononi mwako, ukiiweka benki si yako, hata ukiwashtaki ni kazi bure sababu mlisainiana contracts kabla hujafungua acc, nenda kasome tena yale masharti yauliyo sign

Haya ni sehemu ya masharti unayo saini kufungua acc nmb, soma kwa makini unambie umeelewa nini
 

Attachments

  • Screenshot_20230601-132719.png
    Screenshot_20230601-132719.png
    1.2 MB · Views: 13
Haya mabenki yakiamua kukuzingua utakoma.
Kuna siku nilihangaika na NMB, ATM ilikuwa inahesabu hela halafu inarudisha na msg napata kabisa. nilijaribu ATM 3 tofauti mchezo huo huo.
Ikabidi nikatolee ATM ya bank nyingine ndio ikakubali.
 
Huu ni mwanzo wa mwezi kwa hyo mtandao unakuwa Jam sana......, Ndugu mteja tunaomba uendelee kuvumilia tuu baadae jioni jaribu kutoa tena.

Kwani ukipiga - siku moja kuna ubaya ganii[emoji28][emoji28]
 
Kimsingi benki zimezidiwa maarifa ukiwa smart enough unatumia benki ndogo ndogo hizi zisizokuwa na wateja wengi hawa jamaa wako swafi sana hakuna kufeli, benki za kibongo ni majanga na ukitaka kujua ni majanga nenda nje ya nchi na kikadi chako hicho, sometimes kinakuwa kama kadi ya kupigia kura tu.
 
Pole sana, hiyo itakuwa Changamoto ya mtandao kama upo karibu na Benki, ingia ndani utasaidiwa
Binafsi nawaona CRDB kama wanalewa na soko na kujisahau/kulala usingizi.....
Mfano: Zamani mtu akiweka hela huko zilikuwa hazipungui kwani kale ka interest walikuwa wanaweka kalitosha gharama za makato; ILA kwa sasa ni majanga yaani ukiweka hela huko; pamoja na kuwa wanazifanyia biashara na kupata faida hela zinapungua
Makato ni mengi huku wanajinasibu wamepata faida ya mabilioni kumbe ni makato wanabuni mapya kila mara ili waonekane wamepata faida kubwa
 
Nimetembelea jiji la Tanga leo, CRDB ATM za matawi yao hazitoi huduma wala huwezi kutumia VISA kadi kupata huduma kwenye ATM za benki nyingine
 
Back
Top Bottom