CRDB na bodi ya mikopo

donMramba

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
42
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:
 
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:

Mbona una kihere here ka mwanasiasa umepewa mkopo!!?
 
Tulia dogo kwanza huna uhakika kama umepata mkopo,kama nikufungua account utafungulia chuo tena kwa bei chee
 
hahahahahaah nahisi sasa ipo loading......90%
 
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:
  • Taratibu za mkopo na akaunt kwa wenye nazo na wasio nazo hufanyika chuoni.
  • Kama utakuwa nayo akaunti wewe hautahusika na zoezi la ufunguaji wa akaunti kama utapendelea kuendelea kutumia hiyo akaunti, kwa wale wasio na akaunti team toka benki huja chuoni na kila kitu kitafanyika hapo.
  • Hivyo ondoa shaka.
Karibu
 
dogo its better ukafungua akaunt mapema tena CRDB ili mkianza kushughulikia hiyo mambo usipate tena usumbufu badae
 
jamani wenye majibu si mumpe...mbona mna kazi ya kumpiga madongo wakati mtu mwaka wa kwanza kauliza......???????aaaaaaaah...mbona mnapenda makonakona....be straight......
 
that is point mkuu....
 
In order to achieve your goals perfectly,cross the bridge before you reach it.This is a motto for smart ones eg.Melancholic people.

before the Mamba has caught you,it's better to cross the river quickl quickly
 
shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…