Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:
Kama hauna acc kwa sasa subiri adi pindi ya chuo ndio itakua rahisi zaidi na sio lazima crdb bank yoyote boom linaingia.hahhahahahaaha mkuuu always hop for the best bhana ahsante lakini
Karibu
- Taratibu za mkopo na akaunt kwa wenye nazo na wasio nazo hufanyika chuoni.
- Kama utakuwa nayo akaunti wewe hautahusika na zoezi la ufunguaji wa akaunti kama utapendelea kuendelea kutumia hiyo akaunti, kwa wale wasio na akaunti team toka benki huja chuoni na kila kitu kitafanyika hapo.
- Hivyo ondoa shaka.
Dont cross a river b4 u reach it
In order to achieve your goals perfectly,cross the bridge before you reach it.This is a motto for smart ones eg.Melancholic people.
Karibu
- Taratibu za mkopo na akaunt kwa wenye nazo na wasio nazo hufanyika chuoni.
- Kama utakuwa nayo akaunti wewe hautahusika na zoezi la ufunguaji wa akaunti kama utapendelea kuendelea kutumia hiyo akaunti, kwa wale wasio na akaunti team toka benki huja chuoni na kila kitu kitafanyika hapo.
- Hivyo ondoa shaka.
before the Mamba has caught you,it's better to cross the river quickl quickly
kumbe unatatizo la upungufu wa misamiati ya kingereza siku nyingine andika kwa lugha ya taifa na bado ujumbe utafika vizuri.....before the Mamba has caught you,it's better to cross the river quickl quickly
before the Mamba has caught you,it's better to cross the river quickl quickly