Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Ni ngumu sana kumsafisha magufuli.
Wewe ndo muongo ukujua aina ya tawi ilio fungwa na tawli lililo baki, kwani kabla ya magufuli crdb si ilikua na tawi chato? Wamaendeleza hilo hilo dogo sio main likua chini ya tawi kuu Geita.Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Sasa hivi tunaangalia kipaumbele cha mtawala anataka nini. Maisha bila unafki hayaendi. Tumegundua tukitupa madongo kwa yule bwana mkuu pamoja na genge lake wanafurahia kuliko kuja na kichwa habari cha kusifia uongozi wa JPM.Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Sahihi. Kama mwanadamu hawezi kuwa sahihi wakati wote. Kuna wakati aliteleza akafanya makosa lazima tukubaliane kwenye hili.Ni ngumu sana kumsafisha magufuli.
Chalinze kuna uwanja wa ndege?,chalinze kuna hospitali ya kanda?,chalinze kuna ofisi za TRA na TANESCO (zenye hadhi ya mkoa au kanda) kama zilizopo chato?,chalinze kuna mbuga ya wanyama pori ya kulazimisha kama ya burigi chato? Chalinze kuna jengo la mahakama ya mwanzo na wilaya la kipekee.Watu wa chato ni kama hawana haki.
Watabaki hoi huku Chalinze ikineemeeka.
Hachafuliwi, upuuzi aliofanya enzi za uhai wake ndiyo unamchafua,hivi unawezaje kuichafua oil chafu?Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Chalinze haiko kwenye hata Wilaya lakini Ina mambo mange tu.Chalinze kuna uwanja wa ndege?,chalinze kuna hospitali ya kanda?,chalinze kuna ofisi za TRA na TANESCO (zenye hadhi ya mkoa au kanda) kama zilizopo chato?,chalinze kuna mbuga ya wanyama pori ya kulazimisha kama ya burigi chato? Chalinze kuna jengo la mahakama ya mwanzo na wilaya la kipekee.
Ndugu acha unafiki.
Ofisi za TRA, TANESCO, Mahakama zipo karibu kila wilaya lakini za chato ni za kipekee ndio hoja yangu yaani kuna baadhi ya vitu imependelewa waziwazi kwa msukumo wa Magufuli.Chalinze haiko kwenye hata Wilaya lakini Ina mambo mange tu.
Mahakama ipo.
Benki ipo.
Stand ipo.
TANESCO ipo (Tena kituo Cha kupozea Umeme wa rufiji kinawekwa pale).
TRA ipo.
Ungekuwa kwenye hadhi ya Wilaya unazani ingekuwaje Sasa?