CRDB na Gazeti la mwananchi ni waongo, wanamchafua Magufuli

hasafishiki
Image result for ben saanane

Image result for ben saanane

Video

Image result for ben saanane

Image result for ben saanane

Image result for ben saanane

Image result for azory gwanda

Image result for azory gwanda
Hawa ni wakina Nani ?
 
Chalinze kuna uwanja wa ndege?,chalinze kuna hospitali ya kanda?,chalinze kuna ofisi za TRA na TANESCO (zenye hadhi ya mkoa au kanda) kama zilizopo chato?,chalinze kuna mbuga ya wanyama pori ya kulazimisha kama ya burigi chato? Chalinze kuna jengo la mahakama ya mwanzo na wilaya la kipekee.

Ndugu acha unafiki.
Akijibu utaniambia mkuu!!!!
 
Acha kunishobokea. Usitafute kiki kupitia mm.
We mwehu kweli yani sikujui hunijui halafu nitafute kiki ipi sasa we mpumbavu? Kumbe humu kuna watu mmejitafutia umaarufu wa JF sasa ndio ili iweje sasa? Aisee
 
Basi koma kunifuatilia
 
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Crdb walishakanushaga huko nyuma mara baada ya huu uvumi kuwa tawi lao limegeuzwa Club
 
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani
Ukweli wako ni upi? Miradi mingapi huko Chato ni magofu?

Pumbavu
 
CRDB ilifungua matawi maeneo kibao tu kwa kukurupuka na wakayafunga wenyewe.

Je tawi la Isaka-Kahama walilifungua na kulifunga kumfariji nani?

Walikuwa wanahudumia watu hata wawili tu siku nzima pale.
 
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuri na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB?ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na yakisasa zaidi.Sasa Kwa kuwa Gazeti la mwananchi ya jana linasema CRDB ilifunga tawi lao mara magufuri kumfariji,,na wao kukaa kimya..inaonyesha wanakubalina na mauudhui ya uwongo ya gezeti la mwananchi na hivyo kukubali kuwa CRDB inashirikiana na Gazeti la mwananchi kuchagua magufuri..haijulikani Kwa faida ya nani

Rudi shule ukajifunze kuandika maana sasa hivi elimu ni bure. Unalazimisha kuanzisha uzi wa kutetea muhuni wakati hata kuandika kwa ufasaha hujui!
 
Maisha ni hadithi tujitaidi kuandika hadith nzuri - Alhaji A.H.Mwinyi
 
Kama unajua ni Tanzania. Inatosha tu hata hapo.

Mengine ni wivu tu.

Yamefanyika Moshi na Arusha na Wala hatusemi. Msiwafanye wengine wajinga nchi hii.
Moshi na Arusha kulifanyika nini kama upendeleo??
 
Back
Top Bottom