CRDB na Gazeti la mwananchi ni waongo, wanamchafua Magufuli

Ofisi za TRA, TANESCO, Mahakama zipo karibu kila wilaya lakini za chato ni za kipekee ndio hoja yangu yaani kuna baadhi ya vitu imependelewa waziwazi kwa msukumo wa Magufuli.
Wivu tu huo unakusumbua Ndugu yangu utazani Chato si Tanzania.
 
Ni Tanzania lakini kwanini ipendelewe na serikali ya awamu ya tano kwa kujengewa miundombinu ya kisasa kwa muda mfupi tu?
Kama unajua ni Tanzania. Inatosha tu hata hapo.

Mengine ni wivu tu.

Yamefanyika Moshi na Arusha na Wala hatusemi. Msiwafanye wengine wajinga nchi hii.
 
Soon kila kitu kitawekwa wazi tu, watu walishindwa kusema maan hapakua na uhuru huo!!! Usiseme ni waongo, unajua mashirika kadha ilibid yawe yanaenda kopa kwingine ili yatoe gawio? Na ole wako usilete gawio, mambo ni mengi mengine kwasababu ya kiprotoko inabid yapotezewe!! imagine mji mdogo kama chatlle uweke jengo kama lile la crdb bora geita ni sawa kbs!!
 
Wivu tu huo unakusumbua Ndugu yangu utazani Chato si Tanzania.
Wilaya gani ambayo sio makao makuu ya mkoa imejengwa referral hospital kama ilivyo Chato? Vitu vingi vilivyotakiwa kuwa mkoani vilijengwa Chato kwa upendeleo sana kisingizio kikiwa hicho cha nayo ni Tanzania. Hata Ileje, Nachingwea na Mbulu nazo ziko Tanzania pia. Kuwa mtawala kusifanye ujimegee tu keki ya nchi kwa eneo lako
 
Wewe ndo muongo ukujua aina ya tawi ilio fungwa na tawli lililo baki, kwani kabla ya magufuli crdb si ilikua na tawi chato? Wamaendeleza hilo hilo dogo sio main likua chini ya tawi kuu Geita.
Hivi kwanini ulichagua ID covax? Most likely you are in the medical profession/researcher 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 just joking!
 
Magufuli alikuwa mchafu hivyo haihitaji kuchafuliwa
 
Usiwatishe CRDB na gazeti la Mananchi. Enzi za huyo Mungu wako zimekwisha.

Acha atukwnwe na kuchafuliwa mpk akome kuwa dikteta huko aliko.
Sasa wewe una hasira za nini?
 
Natural ni uongonmkubwa kusema CRDB Haina bank chato Kwa SBB waliifunga mara baada ya magufuri kumfariji Kwa SBB waliifunga Kwa kumuogopa magufuri. Uwongo uwongo uwongo.

Leta hilo andiko hapa tulisome, otherwise utakuwa umesoma kwa kukurupuka kisha ukapanic ndio ukaleta huu uparata!
 
Kwanza Magufuri ndio nani?
 
Usiwatishe CRDB na gazeti la Mananchi. Enzi za huyo Mungu wako zimekwisha.

Acha atukwnwe na kuchafuliwa mpk akome kuwa dikteta huko aliko.
Msikilize huyu Chadema mwezako Askofu Niwemugizi

 
Ukiona Unachafuliwa,,,Jua ya kuwa wewe ni Msafi!!!Ulioshaona wapi Mchafu akachafuliwa,,,Mchafu anasafishwa,,,na Msafi yake kuchafuliwa!!!
 
Tawi lilifunguliwa na crdb na wao crdb ndo wanasema walifungua kumfariji marehemu alafu unabisha

Hii nchi Ina watu wagumu Sana

Kwahiyo we unajua zaidi kuliko crdb kuhusu crdb?
 

Sasa wewe mbona hujaleta ushahidi unakuja kutuuliza sisi?
 
Kwani hujui kwamba inatakiwa iwe mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…