CRDB na Gazeti la mwananchi ni waongo, wanamchafua Magufuli

Akijibu utaniambia mkuu!!!!
 
Acha kunishobokea. Usitafute kiki kupitia mm.
We mwehu kweli yani sikujui hunijui halafu nitafute kiki ipi sasa we mpumbavu? Kumbe humu kuna watu mmejitafutia umaarufu wa JF sasa ndio ili iweje sasa? Aisee
 
We mwehu kweli yani sikujui hunijui halafu nitafute kiki ipi sasa we mpumbavu? Kumbe humu kuna watu mmejitafutia umaarufu wa JF sasa ndio ili iweje sasa? Aisee
Basi koma kunifuatilia
 
Crdb walishakanushaga huko nyuma mara baada ya huu uvumi kuwa tawi lao limegeuzwa Club
 
Ukweli wako ni upi? Miradi mingapi huko Chato ni magofu?

Pumbavu
 
CRDB ilifungua matawi maeneo kibao tu kwa kukurupuka na wakayafunga wenyewe.

Je tawi la Isaka-Kahama walilifungua na kulifunga kumfariji nani?

Walikuwa wanahudumia watu hata wawili tu siku nzima pale.
 

Rudi shule ukajifunze kuandika maana sasa hivi elimu ni bure. Unalazimisha kuanzisha uzi wa kutetea muhuni wakati hata kuandika kwa ufasaha hujui!
 
Maisha ni hadithi tujitaidi kuandika hadith nzuri - Alhaji A.H.Mwinyi
 
Kama unajua ni Tanzania. Inatosha tu hata hapo.

Mengine ni wivu tu.

Yamefanyika Moshi na Arusha na Wala hatusemi. Msiwafanye wengine wajinga nchi hii.
Moshi na Arusha kulifanyika nini kama upendeleo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…