KERO CRDB na kero ya kuchelewesha muamala uliofanyika kimakosa

KERO CRDB na kero ya kuchelewesha muamala uliofanyika kimakosa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,116
Reaction score
3,476
CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.
 
Back
Top Bottom