rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,116 Reaction score 3,476 May 29, 2026 #1 CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.
CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.