Mwanantala
Senior Member
- May 13, 2010
- 130
- 26
Tumia tigo 0715197700 utapokelewa fasta voda inaznguaga mkuu!!
Tumia tigo 0715197700 utapokelewa fasta voda inaznguaga mkuu!!
Na nyingine ni 0789197700, ajaribu zote voda inatumiwa na watu wengi ila tigo na Airtel utawapata.
GANGAMALA MKUU na ukipata utupe majibu kwani na sisi tusije ibiwa, maana hatuelewi ulizihamisha kutoka CRDB kwenda Mobile au Benki za kawaida zikapotea huko au kwenye a/c yako na kufika ATM hakuna kitu
kweli hizo namba ni za CRDB Bank PLC call center. Tumia namba hizi za hotline 0754557788 unaweza kusaidiwa
Nayo pia haipokelewi.
Labda jaribu kupiga kesho maana namba hiyo ndiyo hutumika kama kadi yako imeibiwa au kupotea kuweza kuifunga iziweze kutumika Please be informed that on 20[SUP]th[/SUP] July 2013 the Millennium Tower owners will fumigate the building where our Call Centre operates. In view of this, the Call Centre will operate half a day on Saturday 20th July, 2013 and closed on Sunday 21[SUP]st[/SUP] July, 2013. Our customers will continue getting service through Vodacom Hotline 0754 557788 which will be transferred to Data Centre.
Kama transfer ni siku5 bora wafute hyo huduma haina maana kwenye ulimwengu wa digital delay haitakiwi kuzidi sekunde 8.
Du pole sana MKUU najua wamekukwaza sana Week-end hii na hawajui kesho ulitakiwa ulipie Mtoto schoolfee an DuwasaAsante. Nilihamishia mpesa. Mpaka sasa hawapokei. Nadhani hawathamini wateja wao.
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini hela zimetoka toka benki na kupotea hewani. Juhudi zangu za kupata majibu kupitia namba hiyo zimekwama. Naomba msaada wenu wakuu.

Pole sana kiongozi. Kwanza punguza presha, pesa yako haiwezi kupotea. Pili ukubali tu kusubiri kwani hii ni weekend hivyo kufanyia kazi tatizo lako ni hadi jumatatu, na pengine pesa ukarudishiwa jumatatu hiyo hiyo au jumanne. Mimi ni mteja wao na nimekutana na tatizo hilo mara nyingi, kamwe pesa haijawahi kupotea, ila ucheleweshaji ndio huwa ni kikwazo kwangu. Hurudushiwi pesa katika muda unaoutaka. Namba zao za customer care zinakuwa busy sana hivyo unatakiwa uwe mvumilivu, upige mara nyingi uwezavyo hadi zitakapopokelewa. Namba zao ni 0755197700, 0714197700, 0789197700 na 0222197700