Mwanantala
Senior Member
- May 13, 2010
- 130
- 26
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini hela zimetoka toka benki na kupotea hewani. Juhudi zangu za kupata majibu kupitia namba hiyo zimekwama. Naomba msaada wenu wakuu.