Crdb namba hii 0755197700 ni yenu?

Crdb namba hii 0755197700 ni yenu?

Mwanantala

Senior Member
Joined
May 13, 2010
Posts
130
Reaction score
26
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini hela zimetoka toka benki na kupotea hewani. Juhudi zangu za kupata majibu kupitia namba hiyo zimekwama. Naomba msaada wenu wakuu.
 
Tumia tigo 0715197700 utapokelewa fasta voda inaznguaga mkuu!!
 
GANGAMALA MKUU na ukipata utupe majibu kwani na sisi tusije ibiwa, maana hatuelewi ulizihamisha kutoka CRDB kwenda Mobile au Benki za kawaida zikapotea huko au kwenye a/c yako na kufika ATM hakuna kitu
 
kweli hizo namba ni za CRDB Bank PLC call center. Tumia namba hizi za hotline 0754557788 unaweza kusaidiwa
 
GANGAMALA MKUU na ukipata utupe majibu kwani na sisi tusije ibiwa, maana hatuelewi ulizihamisha kutoka CRDB kwenda Mobile au Benki za kawaida zikapotea huko au kwenye a/c yako na kufika ATM hakuna kitu

Asante. Nilihamishia mpesa. Mpaka sasa hawapokei. Nadhani hawathamini wateja wao.
 
Nayo pia haipokelewi.

Labda jaribu kupiga kesho maana namba hiyo ndiyo hutumika kama kadi yako imeibiwa au kupotea kuweza kuifunga iziweze kutumika Please be informed that on 20[SUP]th[/SUP] July 2013 the Millennium Tower owners will fumigate the building where our Call Centre operates. In view of this, the Call Centre will operate half a day on Saturday 20th July, 2013 and closed on Sunday 21[SUP]st[/SUP] July, 2013. Our customers will continue getting service through Vodacom Hotline 0754 557788 which will be transferred to Data Centre.
 
Asante kwa ushauri na mwongozo pia.
 
Wakuu hiyo huduma ya kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti kwenda mpesa inatatizo imenichukua siku tano kupata fedha baada ya kuhamisha toka nmb through nmb mobile to mpesa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama transfer ni siku5 bora wafute hyo huduma haina maana kwenye ulimwengu wa digital delay haitakiwi kuzidi sekunde 8.
 
Asante. Nilihamishia mpesa. Mpaka sasa hawapokei. Nadhani hawathamini wateja wao.
Du pole sana MKUU najua wamekukwaza sana Week-end hii na hawajui kesho ulitakiwa ulipie Mtoto schoolfee an Duwasa
Wewe mvae Charles kimei (namba zake ingia Google andika jina lake utakuata Managing Director namba zake mtwangie)
Mpaka hapo kimewaka watakurudishia tu na hawatarudia tena, mradi usipoteze hizo kumbukumbu za simbanking
Haya Mabenki ni matatizo sana kuna jamaa yangu huku kamaliza Mkopo sasa anataka hati zake za nyumba yake eti hawana sasa mwezi. Sijui wanakopeshana wao kwa wao, tukieka Fedha zetu kwenye simu wanatupangia Kodi haya sasa
 
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini hela zimetoka toka benki na kupotea hewani. Juhudi zangu za kupata majibu kupitia namba hiyo zimekwama. Naomba msaada wenu wakuu.

Hela haiwezi kupotea kama umerudishiwa msg ya crdb/kama hujarudishiwa wakati mwingne ni issue ya network aidha ya crdb au voda kama ni m-pesa,hivyo kama crdb huwapati wapigie customercare voda kama issue iko kwao watakuambia,otherwise wasubiri inawezachukuwa hata 2dys ndio inahamia m-pesa,usikate tamaa.
 
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini hela zimetoka toka benki na kupotea hewani. Juhudi zangu za kupata majibu kupitia namba hiyo zimekwama. Naomba msaada wenu wakuu.

Pole sana kiongozi. Kwanza punguza presha, pesa yako haiwezi kupotea. Pili ukubali tu kusubiri kwani hii ni weekend hivyo kufanyia kazi tatizo lako ni hadi jumatatu, na pengine pesa ukarudishiwa jumatatu hiyo hiyo au jumanne. Mimi ni mteja wao na nimekutana na tatizo hilo mara nyingi, kamwe pesa haijawahi kupotea, ila ucheleweshaji ndio huwa ni kikwazo kwangu. Hurudushiwi pesa katika muda unaoutaka. Namba zao za customer care zinakuwa busy sana hivyo unatakiwa uwe mvumilivu, upige mara nyingi uwezavyo hadi zitakapopokelewa. Namba zao ni 0755197700, 0714197700, 0789197700 na 0222197700
 
Asante sana. Ndo wamepokea muda huu. Wameahidi kumaliza tatizo muda si mrefu. Ngoja nisubiri.
 
GANGAMALA MKUU na ukipata utupe majibu kwani na sisi tusije ibiwa, maana hatuelewi ulizihamisha kutoka CRDB kwenda Mobile au Benki za kawaida zikapotea huko au kwenye a/c yako na kufika ATM hakuna kitu

Hatimaye ndo nimezipata. Nadhani hii njia ina walakini mkubwa. Umenipotezea muda na mipango yangu. Asanteni sana wanajamvi kwa ushirikiano mlionipa.
 
Back
Top Bottom