HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikaambiwa wakijiamini ndani ya masaa 6 zitarudishwa ni wiki sasa hazijarudi na hawana majibu ya kueleweka.
Huu ni mwanzo tayari jiandaeni kuhamisha fedha crdb kuweka fedha majumbani huko tuendako lolote linaweza kutokea na mkakosa pesa.
Huu ni mwanzo tayari jiandaeni kuhamisha fedha crdb kuweka fedha majumbani huko tuendako lolote linaweza kutokea na mkakosa pesa.