HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Akizima ya simu tutawasilianajeHabil amesema anaenda kuzima mifumo ya kibenki na mitandao ya simu
Mimi hata sijui, hivi kuna uwezekano kweli wa kupiga pini kila mtandao usitoe wala kutuma pesa ?Akizima ya simu tutawasilianaje
Aachie hayo mambo, yeye kutusaidia uwapige pin hao wabunge, mawaziri na rais waoMimi hata sijui, hivi kuna uwezekano kweli wa kupiga pini kila mtandao usitoe wala kutuma pesa ?
Halafu crdb mfo michezo yao hiii na tumewagunduaNawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikaambiwa wakijiamini ndani ya masaa 6 zitarudishwa ni wiki sasa hazijarudi na hawana majibu ya kueleweka.
Huu ni mwanzo tayari jiandaeni kuhamisha fedha crdb kuweka fedha majumbani huko tuendako lolote linaweza kutokea na mkakosa pesa.
Salio liko lilelile baada ya kutoa pesa zote kwa hasira nasubiri hiyo hela irudishwe nihame benkiMmh week nyingi sn. Ka log complain
Au zimerudi kimya kimya hujapata sms alert
Ushaenda?Salio liko lilelile baada ya kutoa pesa zote kwa hasira nasubiri hiyo hela irudishwe nihame benki