CRDB, nini tofauti ya salio iliyopo na halisi?

MNYAMU ZE KB

Senior Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
149
Reaction score
64
Wakuu hivi nini tofauti ya masalio halisi na masalio yaliyopo kwenye miamala ya bank?
 
Moja ni salio linaloweza kutolewa (salio halisi) na jingine ni linaloweza kutolewa + Kima cha chini cha akaunti ambacho hakiwezi kutolewa (salio lililopo Bank)
 
Ni amount ambayo unaweza ku withdraw na amount ambayo ipo kwenye account ambayo huwa haitoki

Mfano.

Salio lililopo Tsh. 15,300/=
Salio linaloweza kutoka Tsh. 15,000/=

Yani kuna amount huwa haitoki huwa inakaa tu kwenye account
Wakuu hivi nini tofauti ya masalio halisi na masalio yaliyopo kwenye miamala ya bank?
 
Ni amount ambayo unaweza ku withdraw na amount ambayo ipo kwenye account ambayo huwa haitoki

Mfano.

Salio lililopo Tsh. 15,300/=
Salio linaloweza kutoka Tsh. 15,000/=

Yani kuna amount huwa haitoki huwa inakaa tu kwenye account
Thank you!
 
minimum operating balance 9000, hiyo haiwezi kutoka kwenye akaunti yako.
kwenye ATM mshine pale uongei na mtu ile stakabadhi ina maelezo hayo ila ukiomba salio ndani ya benki unapewa lote lkn bado hutoweza kutoa pesa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa akaunti inasoma 28000 nataka nitoe pesa kwa tigo pesa kupitia sim banking wananiambia insufficient funds....

Hivi hawa CRDB ni wazima kichwani kweli...

Halafu kuna pesa niliweka naingia leo nakuta iko pungufu wamekata kama 15000...

Ni muda wa kuwa na kibubu aisee, maana hawa CRDB wanaiba mchana kweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni amount ambayo unaweza ku withdraw na amount ambayo ipo kwenye account ambayo huwa haitoki

Mfano.

Salio lililopo Tsh. 15,300/=
Salio linaloweza kutoka Tsh. 15,000/=

Yani kuna amount huwa haitoki huwa inakaa tu kwenye account
Hawa kenge salio linasoma 28000 nataka nitoe 18000 through tigo pesa wanazuia pesa wanasema insufficient funds hivi hawa jamaa wanajielewa kweli...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtandao tu ndio shuda hapo uliza salio utaona ishatoka so subiri baada ya muda lete mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ishu ni mtandao mbona laki imekubali kutoka wakati hiyo nyingine wamezuia kuitoa...

Plus inakuaje wakate 15974, maana kuna hela niliacha humo nakuta nikaenda kwenye mini statement nakuta wamenikata hicho kiasi...

Huu si wizi kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kwa bank zote tu au crdb tu....maana Nmb ukiangalia salio wanaonesha salio kawaida hawana cha halisi wala nini
benki zote lazima kuna pesa inayotakiwa kubakia kwenye a/c hata wasipokuandikia hayo sio kwamba hawana!!kwenye hiyo atm ya nmb angalia salio kama likiwa 20,000 jaribu kutoa 15,000 uone kama utaipata lazima tu itakataa kuwa pesa haitoshi
 
Kweli maisha magumu jamani [emoji23][emoji23]
 
Kuna account ni lazima uache pesa unapotoa pesa na zingine unaweza toa yote.....halafu sim banking na nmb mobile zina makato sana ..pesa ya kuacha kweny acc ni kama buku sita + pesa ya muamala kweny cm ni kama 2700 iv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…