MNYAMU ZE KB
Senior Member
- Nov 17, 2014
- 149
- 64
Wakuu hivi nini tofauti ya masalio halisi na masalio yaliyopo kwenye miamala ya bank?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hivi nini tofauti ya masalio halisi na masalio yaliyopo kwenye miamala ya bank?
AsanteeMoja ni salio linaloweza kutolewa (salio halisi) na jingine ni linaloweza kutolewa + Kima cha chini cha akaunti ambacho hakiwezi kutolewa (salio lililopo Bank)
Thank you!Ni amount ambayo unaweza ku withdraw na amount ambayo ipo kwenye account ambayo huwa haitoki
Mfano.
Salio lililopo Tsh. 15,300/=
Salio linaloweza kutoka Tsh. 15,000/=
Yani kuna amount huwa haitoki huwa inakaa tu kwenye account
Uzuri wa Nmb hamna uchaga-uchaga kama hukoHiyo ni kwa bank zote tu au crdb tu....maana Nmb ukiangalia salio wanaonesha salio kawaida hawana cha halisi wala nini
Kimei wa nn tena mkuu?Cc: Kimei
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Hawa kenge salio linasoma 28000 nataka nitoe 18000 through tigo pesa wanazuia pesa wanasema insufficient funds hivi hawa jamaa wanajielewa kweli...Ni amount ambayo unaweza ku withdraw na amount ambayo ipo kwenye account ambayo huwa haitoki
Mfano.
Salio lililopo Tsh. 15,300/=
Salio linaloweza kutoka Tsh. 15,000/=
Yani kuna amount huwa haitoki huwa inakaa tu kwenye account
Mtandao tu ndio shuda hapo uliza salio utaona ishatoka so subiri baada ya muda lete mrejeshoHawa kenge salio linasoma 28000 nataka nitoe 18000 through tigo pesa wanazuia pesa wanasema insufficient funds hivi hawa jamaa wanajielewa kweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ishu ni mtandao mbona laki imekubali kutoka wakati hiyo nyingine wamezuia kuitoa...Mtandao tu ndio shuda hapo uliza salio utaona ishatoka so subiri baada ya muda lete mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
benki zote lazima kuna pesa inayotakiwa kubakia kwenye a/c hata wasipokuandikia hayo sio kwamba hawana!!kwenye hiyo atm ya nmb angalia salio kama likiwa 20,000 jaribu kutoa 15,000 uone kama utaipata lazima tu itakataa kuwa pesa haitoshiHiyo ni kwa bank zote tu au crdb tu....maana Nmb ukiangalia salio wanaonesha salio kawaida hawana cha halisi wala nini