Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
CRDB wamekua wahuni sana siku hizi, halafu huwa hawatoi taarifa kwa wateja ontime,Tangu asubuhi leo huduma za CRDB kuanzia ATM, App mpaka bank hakuna watu wameshindwa kufanya transfer kutokana na upuuzi wenu mnadai network hakuna hii inatuhusu nini wateja?
Hivi mnajua ni kiasi gani mpaka sasa mmeingiza watu hasara kwa kukosa kufanya transfer mbalimbali? Mpaka sasa saa 7 mchana hakuna huduma upuuzi gani huu?