CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

Tangu asubuhi leo huduma za CRDB kuanzia ATM, App mpaka bank hakuna watu wameshindwa kufanya transfer kutokana na upuuzi wenu mnadai network hakuna hii inatuhusu nini wateja?

Hivi mnajua ni kiasi gani mpaka sasa mmeingiza watu hasara kwa kukosa kufanya transfer mbalimbali? Mpaka sasa saa 7 mchana hakuna huduma upuuzi gani huu?
CRDB wamekua wahuni sana siku hizi, halafu huwa hawatoi taarifa kwa wateja ontime,
Screenshot_20201012-191737_Messages.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
STUKA! Ni wakati muafaka wa kuikimbia hiyo bank. Kuweni na akiba ya kutosha pia majumbani hizi benki hazieleweki.
Hivi hawa CRDB si ndiyo kama wiki moja hivi iliyopita watu walilalamika sana kwamba hela zilikuwa zikikatwa kwenye akaunti zao bila taarifa na baada ya malalamiko ya wateja pesa zikarudishwa? Kutakuwa na tatizo kubwa huko na wateja wake kuweni makini.
 
Tangu asubuhi leo huduma za CRDB kuanzia ATM, App mpaka bank hakuna watu wameshindwa kufanya transfer kutokana na upuuzi wenu mnadai network hakuna hii inatuhusu nini wateja?

Hivi mnajua ni kiasi gani mpaka sasa mmeingiza watu hasara kwa kukosa kufanya transfer mbalimbali? Mpaka sasa saa 7 mchana hakuna huduma upuuzi gani huu?
Dah leo ni shida tu
 
NMB pia Leo 13/10/2020 huduma zilianza mchana kupatikana! Huenda ni adha ya kimfumo katika Benki zote, hili ni kiteknolojia zaidi hivyo tupunguze lawama, kama si kusisitiza utoaji taarifa kwa wateja hats kwa SMS ingesaidia, ili kutumia njia mbadala ya vivubu vya asili!
 
Tangia nijibiwe kipuuzi na hawa jamaa nilihamaga mda sana pesa najitunzia mwenyewe alafu kila mwezi najilipa makato waliyokuwa wananikata life inaendelea
 
Back
Top Bottom