CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

CRDB wamekua wahuni sana siku hizi, halafu huwa hawatoi taarifa kwa wateja ontime,
 
Reactions: BAK
STUKA! Ni wakati muafaka wa kuikimbia hiyo bank. Kuweni na akiba ya kutosha pia majumbani hizi benki hazieleweki.
 
Dah leo ni shida tu
 
NMB pia Leo 13/10/2020 huduma zilianza mchana kupatikana! Huenda ni adha ya kimfumo katika Benki zote, hili ni kiteknolojia zaidi hivyo tupunguze lawama, kama si kusisitiza utoaji taarifa kwa wateja hats kwa SMS ingesaidia, ili kutumia njia mbadala ya vivubu vya asili!
 
Tangia nijibiwe kipuuzi na hawa jamaa nilihamaga mda sana pesa najitunzia mwenyewe alafu kila mwezi najilipa makato waliyokuwa wananikata life inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…