Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi sana.Kuweka card ya benki kiholela ni hatari sana-Mtu hahitaji kuwa na password yako kuweza ku-access huduma za online as long as card imekuwa registered.Mkuu
Kama ulijiunga na Internet Banking na ukaruhusu malipo ya online ni rahisi sana kuibiwa
Kufanya malipo online mtu anahitaji namba ya Visa/Mastercard na CVV [Card Verification Code], ile number inakuwa na digits 3 nyuma ya kadi. Mtu akiona tu kadi yako na akachukua hizo details anafanya malipo bila ya kuwa na password yako.
View attachment 1871595
Kwa swali la kwanza, mimi ni mtumiaji wa TECNO mkuu! Sijui chochote kuhusu iTunesMkuu bila kujari,twende kidogo kidogo pande zote mbili,huenda tukapata jibu tu....,
umeshawahi kutumia bidhaa yeyote ya Iphone/Apple toka umeanza kumiliki hio card?
Kuna swali pia umeuliza kuhus tembo card.....Jibu lake[emoji117].
Tembo card iloyounganishwa na Visa/Mastercard inaweza kufanya malipo ya mtandaoni ikiwa tu imeunganishwa na banki kufanya huduma hiyo.
Naomba nikuulize swali la pili?
Kadi yako ya benki ina nembo ya Via card /Master card?
NOTE
Haya maswali mawili yatasaidia kutatua tatizo lako,kwa kuanzia
Card yangu haina hivyo vitu mkuu. Nafkiri labda huzijui Tembo card za wanafunziMkuu
Kama ulijiunga na Internet Banking na ukaruhusu malipo ya online ni rahisi sana kuibiwa
Kufanya malipo online mtu anahitaji namba ya Visa/Mastercard na CVV [Card Verification Code], ile number inakuwa na digits 3 nyuma ya kadi. Mtu akiona tu kadi yako na akachukua hizo details anafanya malipo bila ya kuwa na password yako.
View attachment 1871595
Hakuna message yeyote iliyoingia boss. Message ya mwisho ni pale nilipoingiziwa Boom.Mtu akichukua card yako akachukua namba ya card (sio a/c no), expire date na cvv basi. Hapo atajiunga na malipo yoyote online na utakatwa wewe. Ila CRDB kwa miamala yoyote online hua wanatuma message ya kawaida kwako vipi.
Fuatilia ujue huko itune ni nani amejiunga.
Mimi transactions online bora kutumia mpesa mastercard
Infact hakuna card za bank zinazotumiwa na wanafunz pekee.VISA na yenyewe inaruhusu online payments-na hata nyuma yake kuna CVVKwa swali la kwanza, mimi ni mtumiaji wa TECNO mkuu! Sijui chochote kuhusu iTunes
Na la pili, card yangu ni Tembo card Visa... Hakuna nembo ya Mastercard. Na ndio card zetu sisi wanafunzi zilivyo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Binafsi card yangu ya bank siiachi kiholela.Mtu akishapata namba za card na CVV mchezo umekwisha kama card imekuwa registered kufanya online payments.Infact hakuna card za bank zinazotumiwa na wanafunz pekee.VISA na yenyewe inaruhusu online payments-na hata nyuma yake kuna CVV
Kuna mjanja mwenzio Muhimbili hapo kapata namba za card yako na ile pin ya nyuma. Chunguza vizuriHabari za wakati huu Great thinkers!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo.
Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MUHAS). Mara nyingi, kama ilivyo kwa wanafunzi wengi, natoa pesa kidogo kidogo. Hilo hupunguza hata risk ya kuibiwa, natoa pesa ambayo nina matumizi nayo tu!
Tangu naanza kupokea Boom la kwanza, nilikuwa na wasiwasi kwamba pesa yangu inapungua. Lakini pasipo kufuatilia na pasipo kujua nika'assume' kwamba itakuwa nyingine inaishia kwenye makato!
Lakini ile hali ya kwamba pesa inapungua haikunipa amani kabisa!
Baada ya Boom la mwisho kwa mwaka huu ambapo kwa MUHAS tunapokea Takribani Tsh 665,000/= nikatoa laki 3 kwa ajili ya kulipa madeni na matumizi mengine.
Nilipokuja kutoa tena kiasi cha fedha elfu 50, nikashangaa kuona imebaki 190,000/=!! Hata kama ni Makato yanakuwaje makubwa hivi?
Nikaenda kuwauliza CRDB Kariakoo Branch wakasema hawawezi kunisaidia labda niende kwenye Bank niliyosajilia bank account yangu. Hivyo basi nikaenda Azikiwe branch na baada ya mvutano mrefu mwisho wakaniambia niombe bank statement.
Nikaomba ya June na July, nilichokikuta ndio hicho hapo chini! Hizo sehemu zenye duara ni malipo madogo madogo ambayo sija yafanya na wanadai nimeyafanya.
Ikumbukwe kwamba sijalipia premium kwenye App au sehemu nyingine yoyote na wala sifanyi manunuzi ya mtandaoni.
Itoshe kusema kwamba, CRDB ni wezi! Na huenda ikawa wanaibia wengi kwa staili hii hii bila wao wenyewe kujua. Hiyo ni kutoakana wanafunzi wengi sio wafuatiliaji.
Na je, hivi ni kweli hizi Tembo card zinaweza kutumika kwenye kulipia malipo ya mtandaoni? (iTunes)
Nimelileta hili jukwaani, ili watu walitambue. Binafsi ntaangalia namna ya kuwahama japo ni process ndefu kwa mujibu wa taarifa nilizopewa. Lakini je, huko kwingine vipi?
Inauma sana!
View attachment 1871494View attachment 1871494
Hata aende NMB,kama umakini wa security ya account yake hatouchukulia kiumakini atapigwa tu.nenda nmb benki ya walalahoi huko ni majanga matupu
of coz security ni muhimu hasa ikiwa ana kadi inayolipa online but crdb nina experience huwa wanakata pesa kizembekizembe sanaHata aende NMB,kama umakini wa security ya account yake hatouchukulia kiumakini atapigwa tu.
Hatua ya kwanza ya muhimu kwa sasa ni kuwaomba bank wa restrict account tako isiweze kufanya online payments wakati unatafuta ukweli.Bank hakunaga hela inayopotea kimasihara bila sababu-kila kinachofanyika kwenye account ya mteja huwa recorded.Liability inayohusiana na usalama wa card na online transactions huwa ni ya mteja.Hakuna message yeyote iliyoingia boss. Message ya mwisho ni pale nilipoingiziwa Boom.
Na Simbanking sina boss
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Dogo umekuja kuuliza ufundishwe au vip.?Kwa swali la kwanza, mimi ni mtumiaji wa TECNO mkuu! Sijui chochote kuhusu iTunes
Na la pili, card yangu ni Tembo card Visa... Hakuna nembo ya Mastercard. Na ndivyo card zetu sisi wanafunzi zilivyo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa, hii imetokea kwa Boss wangu ambae tuko ofisi moja, yeye amekutana na changamoto kama hiyo akawapigia CRDB WAKASHUGHULIKIA, WAMEMBADILISHIA CARD.Dogo umekuja kuuliza ufundishwe au vip.?
Ni hivi, kuna mwenzio hapo chuoni alichukua card no, na cvv, na exp date akajiunga na hizo huduma..
Sasa chunguza mtu uliyenaye karibu anaetumia iphone, aidha unaelala nae chumba kimoja au classmate, au demu wako..
Hakuna namna crdb wakuibie then watengeneze statement feki, ingekuwa kuna pesa wameikata kimakosa wangekuzungusha au kukwambia uandike barua wanashughulikia..
Mambo ya finance sio mepesi kama kumpa mtu Panadol unakosomea..
FUATA HUO USHAURI WA JUU UJE UTUPE MREJESHO..
Nimekuelewa mkuu! Nitaleta mrejeshoDogo umekuja kuuliza ufundishwe au vip.?
Ni hivi, kuna mwenzio hapo chuoni alichukua card no, na cvv, na exp date akajiunga na hizo huduma..
Sasa chunguza mtu uliyenaye karibu anaetumia iphone, aidha unaelala nae chumba kimoja au classmate, au demu wako..
Hakuna namna crdb wakuibie then watengeneze statement feki, ingekuwa kuna pesa wameikata kimakosa wangekuzungusha au kukwambia uandike barua wanashughulikia..
Mambo ya finance sio mepesi kama kumpa mtu Panadol unakosomea..
FUATA HUO USHAURI WA JUU UJE UTUPE MREJESHO..
Kwa sisi kubadilisha card ni process ndefu sana.Ni kweli kabisa, hii imetokea kwa Boss wangu ambao tuko ofisi moja, yeye amekutana na changamoto kama hiyo akawapigia CRDB WAKASHUGHULIKIA, WAMEMBADILISHIA CARD.