CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

Kama una card ya atm yenye hadhi ya visa au MasterCard kwa watumiaji wa crdb ukitoa tofauti na benk zao yaan NBC,NMB na kadhalika makato in makubwa sana kwa kila muamala unaoufanya.. Ukumbuke hilo pia
 
Mtu akichukua card yako akachukua namba ya card (sio a/c no), expire date na cvv basi. Hapo atajiunga na malipo yoyote online na utakatwa wewe. Ila CRDB kwa miamala yoyote online hua wanatuma message ya kawaida kwako vipi.
Fuatilia ujue huko itune ni nani amejiunga.

Mimi transactions online bora kutumia mpesa mastercard
 
Upo sahihi sana.Kuweka card ya benki kiholela ni hatari sana-Mtu hahitaji kuwa na password yako kuweza ku-access huduma za online as long as card imekuwa registered.
 
Kwa swali la kwanza, mimi ni mtumiaji wa TECNO mkuu! Sijui chochote kuhusu iTunes

Na la pili, card yangu ni Tembo card Visa... Hakuna nembo ya Mastercard. Na ndivyo card zetu sisi wanafunzi zilivyo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Card yangu haina hivyo vitu mkuu. Nafkiri labda huzijui Tembo card za wanafunzi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hakuna message yeyote iliyoingia boss. Message ya mwisho ni pale nilipoingiziwa Boom.

Na Simbanking sina boss

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwa swali la kwanza, mimi ni mtumiaji wa TECNO mkuu! Sijui chochote kuhusu iTunes

Na la pili, card yangu ni Tembo card Visa... Hakuna nembo ya Mastercard. Na ndio card zetu sisi wanafunzi zilivyo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Infact hakuna card za bank zinazotumiwa na wanafunz pekee.VISA na yenyewe inaruhusu online payments-na hata nyuma yake kuna CVV
 
Infact hakuna card za bank zinazotumiwa na wanafunz pekee.VISA na yenyewe inaruhusu online payments-na hata nyuma yake kuna CVV
Binafsi card yangu ya bank siiachi kiholela.Mtu akishapata namba za card na CVV mchezo umekwisha kama card imekuwa registered kufanya online payments.
 
Kuna mjanja mwenzio Muhimbili hapo kapata namba za card yako na ile pin ya nyuma. Chunguza vizuri
 
Niliwakimbia tangu 2017 kwa huo ujinga hamia hata NBC
 
Hakuna message yeyote iliyoingia boss. Message ya mwisho ni pale nilipoingiziwa Boom.

Na Simbanking sina boss

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hatua ya kwanza ya muhimu kwa sasa ni kuwaomba bank wa restrict account tako isiweze kufanya online payments wakati unatafuta ukweli.Bank hakunaga hela inayopotea kimasihara bila sababu-kila kinachofanyika kwenye account ya mteja huwa recorded.Liability inayohusiana na usalama wa card na online transactions huwa ni ya mteja.
 
Dogo umekuja kuuliza ufundishwe au vip.?

Ni hivi, kuna mwenzio hapo chuoni alichukua card no, na cvv, na exp date akajiunga na hizo huduma..

Sasa chunguza mtu uliyenaye karibu anaetumia iphone, aidha unaelala nae chumba kimoja au classmate, au demu wako..

Hakuna namna crdb wakuibie then watengeneze statement feki, ingekuwa kuna pesa wameikata kimakosa wangekuzungusha au kukwambia uandike barua wanashughulikia..

Mambo ya finance sio mepesi kama kumpa mtu Panadol unakosomea..

FUATA HUO USHAURI WA JUU UJE UTUPE MREJESHO..
 
Ni kweli kabisa, hii imetokea kwa Boss wangu ambae tuko ofisi moja, yeye amekutana na changamoto kama hiyo akawapigia CRDB WAKASHUGHULIKIA, WAMEMBADILISHIA CARD.
 
Nimekuelewa mkuu! Nitaleta mrejesho

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa, hii imetokea kwa Boss wangu ambao tuko ofisi moja, yeye amekutana na changamoto kama hiyo akawapigia CRDB WAKASHUGHULIKIA, WAMEMBADILISHIA CARD.
Kwa sisi kubadilisha card ni process ndefu sana.
Maana tayari tumeshajiunga mpaka na mfumo wa alama za vidole na hizi accounts!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…