Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
equity nadhani ni wakenya na HQ zao zitakua Kenya....
hawanaga hizo mambo, wanakata buku tuu kwa muamalaHawana makato ya kipuuzi? Yaani hawa wengine - ukitoa, ukiweka, ukiomba statement, ukiangalia salio kwenye app, ATM... hauwakwepi! Halafu mwisho wa mwaka wanatangaza faida ya mamilioni!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..dah Bongo pagumu sana ,ukizubaa kidogo unaibiwa hv hvNchi kila mtu au taasisi ni mwizi-ngumu sana kutoka bongoland
Nilipo choka ni tawi lililokwambia rudia ulipo fungulia account. Ina maana CRDB kila tawi ni bank inayo jitegemea? Matawi hayapo interlinked?Mkuu, subscription inaweza kufanyika hata kama sijatoa taarifa zangu za bank? Na hata hiyo Application ya iTunes sina kwenye simu yangu, hilo linawezekana vipi?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwa sites nyengine kama Amazon, hata CVV huhitaji namba zilizo mbele na expiry date zinatosha, usiruhusu mtu kushika au kupiga picha kadi yako ya ATM, si lazima myu awe nayo ili kuitumiaMkuu
Kama ulijiunga na Internet Banking na ukaruhusu malipo ya online ni rahisi sana kuibiwa
Kufanya malipo online mtu anahitaji namba ya Visa/Mastercard na CVV [Card Verification Code], ile number inakuwa na digits 3 nyuma ya kadi. Mtu akiona tu kadi yako na akachukua hizo details anafanya malipo bila ya kuwa na password yako.
View attachment 1871595
Mimi pesa kiasi cha 2M ilingizwa kwenye akaunti yangu toka benki yenye namba za huko nje ya Tz. Baada ya nusu saa wakatoa 1.5M na hawakurudi tena. Niligundua hili baada ya kuomba bank statement mwishoni mwa mwaka. Niliponea chupuchupu kukombwa tuhela twangu!Mm nilikutanaga na sms ya ndg mteja makato tuliyokata yamesharejeshwa, na hapo sijafanya muamala wowote ule, HATARI AISEE
Daaah ila anaweza vipi kuitumia kama hajui namba ya siri?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app