Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga mahindi hivi? Na ni kwa muda gani ?