ujue wana mashaka na wewe, kuna kitu wanachunguzaYani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga mahindi hivi? Na ni kwa muda gani ?
Kwani we ni mualimu? Unajua CRDB huzarao sana waomba mikopo wakiwa ni waalimu, wenyewe wanaona kama wanawapa msaada tu.Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga mahindi hivi? Na ni kwa muda gani ?
HahahahahahCRDB wanadai hao mara mia ya NMB
Sio wewe tu mkuu, hata mimi imefika muda naanza kushawishika kutafuta benki nyingine sasa.Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga mahindi hivi? Na ni kwa muda gani ?
Afisa mkopo wako anapenda rushwa,mtangazie dau uone jinsi mkopo wako utakavyoupata faster!!Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga mahindi hivi? Na ni kwa muda gani ?
Usitowe rushwa achana pesa hiyo itakutesa kulipa.Afisa mkopo wako anapenda rushwa,mtangazie dau uone jinsi mkopo wako utakavyoupata faster!!