CRDB wazidi kushusha riba za mikopo; Dr. Kimei asema watumishi washindwe wenyewe

CRDB wazidi kushusha riba za mikopo; Dr. Kimei asema watumishi washindwe wenyewe

watu mkiongezewa muda wa kulipa deni mnafurahi ehhh!!

yaani jinsi unavyochukua muda mrefu kulipa deni ndivyo unalipia interest kubwa zaidi..
 
Hizo asilimia ni lugha za kibiashara nenda kwa tawi then omba wakupe mkopo wa 10M for 84 month's then kaa chini ucalculate utarudisha kiasi gan baada ya huo mda... kama sikosea haipungui 22M!
So usikurupuke eti riba imeshuka na mda umeongezwa hiyo ni silent killing kwa wafanyakazi....Ila anyway kopa kwa lengo maalumu lakini mi nishauri wafanyakazi msikope kabisa kama fashion,mikopo ni mizuri kwa wafanyabiashara!
Bank zinapata faida ya kuwakopesha wafanyakazi, kwa sababu wengi wafanyakazi wanakopa kwa ajili ya kukipia ADA za shule, kodi za nyumba na vitu vidogo vidogo kama kununua magari haya ya kuanzia 13.5 Million na kushuka kwa iyo bado Bank wapo katika sehemu muhimu ya kupata faida tuuu
 
Habari!

Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo

1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84

2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100

3. Mkopo ni ndani ya masaa 24

4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha

5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.

6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%

My take:

Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba

Wachaga bhana, yote hii ili mradi tu Kimei wao abakie!
 
mda mrefu sijavuta loans
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Fuatilia mijadala ya humu jamvini ndio utanielewa!!
mimi nina kipaji cha kumbukumbu!!
Mijadala naifuatilia everyday.. and kipaji chako cha kumbukumbu doesnt make you special.
Kilicho amuliwa na CRDB , ni uongozi wa CRDB.. wameamua wao kwa faida ya wateja wao.. ww unalamba viatu vya jpm.. nigga grow your a** up
 
Ungefuatilia mijadala humu jamvini ungeelewa kwa nini mabenki yanashusha Riba ...sio CRDB pekee.
Viva JPM hata kama ni kulamba viatu niko tayari
 
Habari!

Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo

1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5 hadi miaka 7 yaani miezi 84

2. Mteja anaweza kukopa hadi mil 100

3. Mkopo ni ndani ya masaa 24

4. Wananunua madeni ya taasisi nyingine za fedha

5. Wakopaji wote watapewa credit card ambazo wataweza kuchukua fedha bila riba yoyote ndani ya mwezi mzima.

6. Riba ni 16% Reducing rate ni sawa na 1.3% kwa mwezi na flat ni sawa na 8.88%

My take:

Benki zingine nao waige japo nawao wapunguze riba
Pole
 
Unlimited data/data isiyo na ukomo

Kwa mwezi 1 sh.9000.
Kwa miezi 3 sh.18,000.
Bandwidth 1mb/s

Kwa mwezi 1 15,000
Miezi 3 30000
Unlimited bandwidth.

Kuwa wakala upige pesa ndefu ni sh.40,000. Yatosha kujisajili na kupiga mihela

Kwa voda,Zantel na Airtel.wahi sasa .

Nipigie au WhatsApp sasa hivi 0621 072 026
 
• Yapunguza riba kwa wakopaji wadogo wote kutoka 22% hadi 16%*

• Yaongeza kiwango cha juu cha kukopa! Kutoka milioni 50 hadi milioni 100*

•Yaongeza muda wa kulipa mikopo kutoka miaka mitano hadi miaka 7*

Tazama Mkurugenzi Mkuu Dkt. Charles Kimei* akitangaza mbele ya waandishi wa habari.. tazama
hapa
1f447_1f3fd.png
1f447_1f3fd.png

Back
Top Bottom