KIM JOHN UN
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 744
- 1,073
Ndugu naomba ufafanue hiyo ya kukatwa mkopo mwezi 1 ikiwa umekopa kabla ya trh 10 π΅wakiendelea na utaratibu wa kudai pesa ya mkataba wa mkopo na kukata mkopo mwezi mmoja kisa umekopa kabla ya tar 10 hawataniona!
Fafanua kidogo hapa Mzee, ili tuelewe huwa ikoje?wakiendelea na utaratibu wa kudai pesa ya mkataba wa mkopo na kukata mkopo mwezi mmoja kisa umekopa kabla ya tar 10 hawataniona!