Blasio Kachuchu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 721
- 438
Hao walioko kwa picha ni panya?Mkenda mbinafsi sana!
Huku simanjiro,hakuna madawati watoto wanakaa chini,unapeleka misaada Rombo,ulikozaliwa ambako shule hazina wanafunzi
Simanjiro hamna mbunge? Mkenda anawatumikia wapiga kura wake.Mkenda mbinafsi sana!
Huku simanjiro,hakuna madawati watoto wanakaa chini,unapeleka misaada Rombo,ulikozaliwa ambako shule hazina wanafunzi