Kweli inasikitisha sana kwa Bank kama CRDB kushika nafasi ya 8 kwa kutoa huduma bora kwa wateja wake.
Matatizo nayo yajua yaweza kuifikisha hapo CRDB kama mie mteja wao ni
- Feature plan zao mbovu au haziwakidhi wateja waliopo na kuwavutia wateja wapya
- Branch Managers-kwa jinsi mie navyo oona managerz wachache sana wanakuwa makini kwa branch chao na wengi wao wapo pale kujilimbikizi mahela tuu kwanini nasema hivyo utakuata manager wa branch fulani anajifanya ati anabana matumizi kumbe anaba hivyo ili azisukumie kwake huku wafanyakazi wake hata kuwaboreshea vitendea kazi kama viti desks au stationaries za kufanyia kazi anajifanya ati muwe mwaijua cut coast. me na uhakika Kimei akituma jopo la wakaguzi kwa managers watakuja na mambo mengi na wasiwulize managers kupata uhakika wawaulize wafanyakazi wa hizo bank na wateja wanao hudumiwa na mbaya zaidi hakuna suggestion box ikiwepo ni boss ndie anasoma hapo kweli ukweli utamfikia kimei??
- Motisha - esp kwa wafanyakazi wa CRDB ni kuwa wanaupendeleo au ndio nini mishahara ni midogo sana na ukizingatia hali ya maisha imeisha anza kuwa ngumu uchumi uko juu sana haulingani na mishahara wanayo pokea,wanakumbwa na matatizo ya usafiri,kodi ya nyumba, sijui wana hisa wa CRDB wanalionaje hilo swala je wao wanafurahi hiloo???
- Uchache wa wafanyakazi ndio kabisaaaa sijui siku hizi ndio style ya kufanyisha watu kama kile kipindi cha slave na master? mwategemea mtu mmoja ahudumie customers wanao kuja front dest,Tailor, na sehemu hizo zote ni mtu mmoja au kwa tailor unakuta wako wa wili foleni ya watu zaidi ya 150 hiyo niu asubuhi tu waingiapo.
- ....
- .....
- ......
- ,.......
Wadau changieni zingine zimfike kimei na member board ya CRDB inatuuma sana bank yetu inakuwa ya 8 kwa uzembe wa Board inashindwa jua hali halisi au kumekuwa na siasa nako au watu wamekuja kuchuma pesa CRDB??