Crecentius Magori, kweli mtoto mdogo kama Engineer Hersi anawazidi maarifa hadi Yanga inang'ara kiasi hiki?

Crecentius Magori, kweli mtoto mdogo kama Engineer Hersi anawazidi maarifa hadi Yanga inang'ara kiasi hiki?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikalini, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini Yanga ya GSM inatisha sasa hivi.

Kuwa 'unbeaten' mara 49 jamani siyo jambo dogo, hata kama unabebwa na waamuzi kuipata siio jambo dogo jamani. Yanga inaonekana kabisa ni timu yenye malengo, wenyewe wanajiita Yanga ya GSM. Yes, ingekuwa ile ya akina Nchunga au Madega au Msolla wangeanza kutukanana mwanzo mwisho.

Nakuuliza Bw.Magori, uliwahi kuwa advisor wa Mo Dewji, mbona wewe ni think tank sana tu, kijana wa juzi Eng. Hersi anakushinda kwa mikakati na mipango kweli, where do you fail Mr Magori and your fellows friends of Simba?

Hamuoni sasa wakati umefika wenye timu yetu tuingilie kati kama tulivyomfanyia marehemu Jimm David Ngonya.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Naumia sana, naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikali, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini...
Eng Hersi amekubali kujifunza kwa watu waliondelea licha ya kua mwana yanga lia lia.

Yanga kupitia chini ya uongozi wa Eng Hersi wanafanya juu chini kuhakikisha timu inakua bora nje na ndani ya uwanja pamoja na kua na mipango ya baadaye.

Kitu kingine ndugu mtoa mada, Football ni science na ukiamua kuifuata wala haitakuja kukuangusha..!

Good players, facilities na mashabiki wa yanga kuunganishwa nchi nzima ndio siri ya mafanikio ya yanga.
 
Ao wakina Magori Poti wako na wenzake hawana uwezo Wala fitna zozote katika soka la bongo, miaka 4 iliyopita fitna kubwa na iliyowabeba ni kumtumia Makonda kumhujumu Manji na Yanga.
Kama Manji ange endelea kuwepo Simba ubingwa wangeusikia redioni.
Kwasasa Yanga wamempata GSM na wameanza kuji imarisha ki uchumi, Simba watapata tabu Kwa miaka mingi sana.
 
Naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikalini, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini Yanga ya GSM inatisha sasa hivi.

Kuwa 'unbeaten' mara 49 jamani siyo jambo dogo, hata kama unabebwa na waamuzi kuipata siio jambo dogo jamani. Yanga inaonekana kabisa ni timu yenye malengo, wenyewe wanajiita Yanga ya GSM. Yes, ingekuwa ile ya akina Nchunga au Madega au Msolla wangeanza kutukanana mwanzo mwisho.

Nakuuliza Bw.Magori, uliwahi kuwa advisor wa Mo Dewji, mbona wewe ni think tank sana tu, kijana wa juzi Eng. Hersi anakushinda kwa mikakati na mipango kweli, where do you fail Mr Magori and your fellows friends of Simba?

Hamuoni sasa wakati umefika wenye timu yetu tuingilie kati kama tulivyomfanyia marehemu Jimm David Ngonya.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hata wendawazimu nao huzeeka
 
Mpira mchezo wa kihuni,simba hakuna muhuni
Kifo cha hanspope ni pengo sana kwa simba
Nadhani umenielewa
 
Yanga kwa Sasa wana timu nzuri Sana kuliko Simba, huo ndio ukweli.

Simba kwenye dirisha dogo tusajili kwa makini tukiangalia zaidi mahitaji ya timu.
 
Mkitaka na nyinyi kuwa unbeaten kwa mechi nyingi kiasi hicho, acheni mara moja kujihusisha na biashara ya unga wa sembe! Badala yake, uzeni unga wa dona, kwa afya.
Una utani wewe,kuna mtu anaitwa mr.kidonge akiibuka kutoka mafichoni patakuwa hapatoshi hapa🤸🤸
 
Simba mnatakiwa kukubali kwanza yanga ina team bora kwasasa kuliko yenu.

Hizi propaganda za yanga inatumia tigo mkiendelea nazo, yanga atatangaza ubingwa mapema sana.
 
Back
Top Bottom