Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikalini, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini Yanga ya GSM inatisha sasa hivi.
Kuwa 'unbeaten' mara 49 jamani siyo jambo dogo, hata kama unabebwa na waamuzi kuipata siio jambo dogo jamani. Yanga inaonekana kabisa ni timu yenye malengo, wenyewe wanajiita Yanga ya GSM. Yes, ingekuwa ile ya akina Nchunga au Madega au Msolla wangeanza kutukanana mwanzo mwisho.
Nakuuliza Bw.Magori, uliwahi kuwa advisor wa Mo Dewji, mbona wewe ni think tank sana tu, kijana wa juzi Eng. Hersi anakushinda kwa mikakati na mipango kweli, where do you fail Mr Magori and your fellows friends of Simba?
Hamuoni sasa wakati umefika wenye timu yetu tuingilie kati kama tulivyomfanyia marehemu Jimm David Ngonya.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app