kwa msaada zaidi ni PM aina ya gari na condition zote nkusaidie kucheck then nkutumie link..Kama ni mara yako ya kwanza plz try to be smart enough.Mkuu Dikembe,
Asante kwa mchango wako. Kwa hiyo hawa jamaa kwa upande mwingine hawako makini katika biashara yao. Hao be forward hawana aina ya gari ninalolitaka. Ngoja nitembelee hiyo website ya tradecarview.
Tiba
yah, hawa jamaa wako smart na wanaviwando vizuri vya magari yao. Recommended choiceNenda tradecarview, wana magari mengi sana, Huwezi kukosa aina ya gari pale lakini ulipe kwa pay trade ili jamaa wakiurusha hela zako zirudi. Hii ina jumuisha makampuni mengi yanaoyouza magari kwenye website moja
Japanese used cars. | tradecarview.com
kwa msaada zaidi ni PM aina ya gari na condition zote nkusaidie kucheck then nkutumie link..Kama ni mara yako ya kwanza plz try to be smart enough.
Wapendwa wana Jamvi,
Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.
Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?
Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.
Tiba
duh hawa jamaa leo nimeregister tu kwa lengo la kucheki magari ili nifanye comparison na beforward.kosa nililofanya nia kuweka namba ya simu coz ndan ya dk 10 hao washanipigia na private number. kiukweli me design kama nawaogopa vile so kuwa makini. me naona bora beforward ambao atleast wana ofisi hapa bongo.

Mkuu Kiwa, kuna member hapa ameni PM na kunihakikishia jamaa wako safi. Nitaenda nao taratibu mpaka nione mwisho wake. Be forward hawana gari ninalolihitaji kwa sasa.
Tiba
Mkuu wale jamaa ni reliable na wako serious sema tu huwa wanamfuatilia mteja na kupiga simu hadi unaweza ukawa na wasiwasi, kifupi hawataki kumpoteza mteja, nimeshafanya nao business, nina jamaa yangu ambae ameshaagiza kwao gari kama nane sasa na nyingine inaingia mwezi huu. naku PM namba yake akupe uzoefu.
yah..hawa jamaa kweli ni kampuni ipo na inauza magari na ndege pia. ni kubwa tu but wana tatizo moja na ucheleweshwaji wa kusafirisha gari. Mwaka jana nilinunua gari tika kwao gari ilkaa miezi mitatu ndio ikafika ikiwa haina spea tairi na betri imekufa. So for advice go to another company. Be foward ni wazuri kiutendaji but magari yao yanamikwaruzo sana na yameenda mileage kubwa.
kuna kampuni inaitwa tradecarview wako vizuri sana. nimefanya nao kazi mara mbili bila tatizo lolote.