Credibility Check: SBT Japan Kampuni ya Kuuza Magari

Mkuu Dikembe,

Asante kwa mchango wako. Kwa hiyo hawa jamaa kwa upande mwingine hawako makini katika biashara yao. Hao be forward hawana aina ya gari ninalolitaka. Ngoja nitembelee hiyo website ya tradecarview.

Tiba
kwa msaada zaidi ni PM aina ya gari na condition zote nkusaidie kucheck then nkutumie link..Kama ni mara yako ya kwanza plz try to be smart enough.
 
Mkuu kusema kweli nimenunua magari kwa njia ya mitandao mara nyingi tu ila nimefanya hivyo na kampuni tofauti. Hawa sijawahi kufanya nao biashara. Nilishtuka nilipogundua ni wapakistani. Nitaku PM nikupe details zabgari ninalolitaka.

Tiba
 
Ama kampuni nyengine nimefurahia huduma zao ni 'www.osn.jp'
 
Mkuu, ni watu wazuri sana ila unapotuma hela hakikisha unatuma kwenye account inayoonekana kwenye website yako. kwa maelezo zaidi na ufafanuzi na kama unahitaji our guarantee karibu. Hakuna garama kwenye huduma zetu.
 
duh hawa jamaa leo nimeregister tu kwa lengo la kucheki magari ili nifanye comparison na beforward.kosa nililofanya nia kuweka namba ya simu coz ndan ya dk 10 hao washanipigia na private number. kiukweli me design kama nawaogopa vile so kuwa makini. me naona bora beforward ambao atleast wana ofisi hapa bongo.
 
Wapendwa wana Jamvi,

Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.

Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?

Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.

Tiba

Mkuu wale jamaa ni reliable na wako serious sema tu huwa wanamfuatilia mteja na kupiga simu hadi unaweza ukawa na wasiwasi, kifupi hawataki kumpoteza mteja, nimeshafanya nao business, nina jamaa yangu ambae ameshaagiza kwao gari kama nane sasa na nyingine inaingia mwezi huu. naku PM namba yake akupe uzoefu.
 
Hata wao wamefungua ofisi bongo na yard pia.
 
duh hawa jamaa leo nimeregister tu kwa lengo la kucheki magari ili nifanye comparison na beforward.kosa nililofanya nia kuweka namba ya simu coz ndan ya dk 10 hao washanipigia na private number. kiukweli me design kama nawaogopa vile so kuwa makini. me naona bora beforward ambao atleast wana ofisi hapa bongo.

Mkuu Kiwa, kuna member hapa ameni PM na kunihakikishia jamaa wako safi. Nitaenda nao taratibu mpaka nione mwisho wake. Be forward hawana gari ninalolihitaji kwa sasa.

kama ni hivyo basi hakuna shaka
 
Mkuu wale jamaa ni reliable na wako serious sema tu huwa wanamfuatilia mteja na kupiga simu hadi unaweza ukawa na wasiwasi, kifupi hawataki kumpoteza mteja, nimeshafanya nao business, nina jamaa yangu ambae ameshaagiza kwao gari kama nane sasa na nyingine inaingia mwezi huu. naku PM namba yake akupe uzoefu.

Asante mkuu, nipe hiyo namba nizu gumze na huyo jamaa anipe uzoefu wake na hawa jamaa.

Tiba
 
Nipitiamichango ya wadau katika hii topic wengi wanakushauri usiitumie hii kampuni. Sababu kubwa ni magari kusafirishwa kabla hayajanunuliwa na wengine wanasema ucheleweshaji. Mimi nimenunua magari mawili moja mwaka jana na lingine 2009 toka katika kampuni hii bila matatizo yoyote. Hivi karibuni wameanza kusafirisha magari kabla hayajanunuliwa nahisi kama walikuwa wanafanya majaribio. Cha kufanya pitia zile email zao zenye attachment list ya magari waliyotuma hakikisha hilo halimo halafu ndio uliagize. Kuhusu ucheleweshaji wa kusafirisha sikupata usumbufu hata kidogo tarehe nilizotajiwa ndio meli ilifika bongo. Kabla ya kununua uliza ni Meli gani watatumia nawe fanya reseach kujua hiyo meli iko wapi tumia google. Kumbuka kuna Meli zinazunguka kupitia Singapore, South, Msumbiji to Dar zinatumia muda wa kama mwezi na siku 10 na zile za moja kwa moja kama mwezi hivi yote kwa yote gari inafika.
Ushauri wangu:
Usinunue gari kwa kampuni ambayo hata nembo yao hujawahi kuiona katika gari lolote hapa bongo.
Kama una uwoga mkubwa tumia Tradecarview kwani huo ni mnada wa magari na hela inatumwa kwa account ya Carview sio kwa muuzaji. Muuzaji hupewa pesa yake pale atakapokuwa amekutumia BL.
Binafsi nimenunua gari hivi karibuni kupitia Carview (muuzaji alikuwa RealmotorJapanJR) CIF ilikuwa USD 4000 na Carview wao USD kama 200 hivi.
SBT, Beforward & Carview ni wazuri tu inabidi uwe good communicator usiwe internet shy.
Goodluck
 
yah..hawa jamaa kweli ni kampuni ipo na inauza magari na ndege pia. ni kubwa tu but wana tatizo moja na ucheleweshwaji wa kusafirisha gari. Mwaka jana nilinunua gari tika kwao gari ilkaa miezi mitatu ndio ikafika ikiwa haina spea tairi na betri imekufa. So for advice go to another company. Be foward ni wazuri kiutendaji but magari yao yanamikwaruzo sana na yameenda mileage kubwa.
kuna kampuni inaitwa tradecarview wako vizuri sana. nimefanya nao kazi mara mbili bila tatizo lolote.

Huko tradecarview kuna makampuni elfu kidogo, hata sbt na beforward wapo pia humo tradecarview kwa sababu wenyewe ni kama platform tu. BTW, sbt nimewahi kufanya nao kazi mara mbili, mara ya kwanza ilienda vizuri, japo gari ilikaa miezi miwili ndiyo ikafika bongo (ni kawaida hata beforward huwa inatokea, kuna gari nimeagiza toka dec lakini haijaingia mpaka leo, sina shaka nao). Gari ya pili sbt ilikuwa Disco III, kwanza wakaniambia ipo watanitumia picha, nikakaa wiki nzima bila picha, baadaye wakanipigia wakasema "you know the car is in uk"...sawa nataka picha.."will send"...wiki nyingine, baadaye wakatuma picha moja tu!!! rangi tofauti na niliyokuwa nataka, wakati huo wananiambia nitume pesa haina shida gari nyeupe ipo!!!! Nikasource kwingine nikapata nyeupe ikaja faster tu, nikauza nikatia mpunga wangu mfukoni. Hawa jamaa wanatuma tu migari yao bongo mi nilidhani wana bonded warehouse kumbe hamna, magari yanakaa bandarini mpaka yanapigwa mnada na TRA, kwa hiyo unaweza ukaagiza gari uliyoiona kwenye site yao, bahati mbaya ukakuta wana gari ya aina hiyohiyo ambayo tayari iko bandarini dar wanakushikisha hiyohiyo!! kikubwa kaka Tiba sijajua hiyo gari unayotaka ni gari gani, kukuliza pesa sijawahi kuskia wameliza mtu pesa zaidi ya kubadili gari, kama unaamua kudeal nao wakuhakikishie kwanza gari iliko, isije kuwa either liko bongo linahesabu storage au liko mbali zaidi kiasi mpaka wafanye utaratibu wa kukutumia ni mbinde. Ungetaja aina ya gari au ukatuma picha au stock namba ningekusaidia kufanya research kujua liko wapi.
 
Last edited by a moderator:

Labda siku hazifanani ILA nimedili nao Mara mbili na ishu zilienda poa na pale ofcn watu wote wananunua magari SBT, kuhusu kubadilishiwa gari kwa nn usiwaambie wakupe details za gari kabla hujalipia?? I mean chassis namba maana hiyo huwa haibadiliki?? Mi binafsi nawakubali Sana PIA wanakuwa wawazi kwenye magari yako kama linamatatizo wanakuambia na si kukubambikia
 
SBT wako poa niliagiza gari kwao.....lilikuja bila shida yoyote kwa muda ule ule. Tatizo lao wako aggressive sana kwenye mawasiliano........utakuta kwenye simu, email, Skype, Sms etc. Mimi nilikuwa nadeal na Mohamed Afraz.
 
Wapendwa wana Jamvi,

Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.

Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?

Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.

Tiba

Mimi nimeishanunua magari mara mbili kupitia hii kampuni. Mwaka 2011 na mwaka jana 2013. Kila kitu kilienda sawa, nikatoa gari bandarini na kukuta lina features zote nilizoziona kwenye picha na walizoeleza kwenye invoice yao.

Labda kama wamebadilika 2014 but kiroho safi nakushauri piga nao biashara.
 
Back
Top Bottom