Ni tradecarview pekee ndiyo hawauzi magari, beforward wanauza magari na ndiyo kampuni inayoongoza kuuza magari used africa kwa sasa, nao pia unaweza kuwapata kwenye website yao Japanese Used Cars | BE FORWARD, ni kampuni kama sbt, na hata sbt nao pia wanauzia tradecarview, autotrader na kwingineko. Ni chaguo la mnunuzi tu, unakoona gari zuri kwa bei umeipenda unanunua kokote.
Thankx kwa kwa kunielesha juu ya hili.
Mkuu Tougher, asante kwa ufafanuzi. Ina maana waliokufanyia hivyo ni hawa hawa SBT Japan au ni kampuni tofauti. Inaelekea hawa SBT hawana ofisi Tanzania. Nipe ufafanuzi wa ziada mkuu.
Tiba
Tiba kwa nini usitafute gari kupitia tradecarview pale kuna makampuni mengi wanatangaza gari zao na unaweza kulipa through tradecarpay ambapo pesa zina kuwa kwa tradecarview mpaka muuzaji apeleke copy ya bill of lading ndio anapewa pesa yake.
Mkuu asante kwa ushauri. Hawa jamaa wa SBT Japan tayari nimeelewana nao terms baada ya members hapa kunihakikishia kwamba wapo na hiyo ndio biashara yao. Nitawajuvya kadiri mambo yanavyo kwenda.
Tiba
Nenda tradecarview, wana magari mengi sana, Huwezi kukosa aina ya gari pale lakini ulipe kwa pay trade ili jamaa wakiurusha hela zako zirudi. Hii ina jumuisha makampuni mengi yanaoyouza magari kwenye website moja
Japanese used cars. | tradecarview.com
hapohapo naomba kujua namna ya kulipa kwa pay trade?
Wapendwa wana Jamvi,
Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.
Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?
Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.
Tiba
Mi niliagiza gari toka kwao mwaka juzi na sikupata shida, gari lilifika bandarini (nilipata) ndani ya mwezi mmoja bila tatizao,na nilikuwa nalitrack kupitia kwenye website yao (wanatoa username na password). Niliweza fuatilia toka tarehe ya kuli load kwenye meli. Na pia tarehe walosema meli yenye hilo gari itafika bandarini Dar haikutofautiana.
Hivyo binafsi sina experience mbaya nao.
The Investor
Wapendwa wana Jamvi,
Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.
Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?
Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.
Tiba
Nimechelewa hii mada, good 2 c that umeshafikia conclusion. Kwa ufupi wako vizuri, nimenunua kwao truck hivi karibuni ilifika katika hali nzuri sana na hawana longo longo
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Unaona faida ya kufanya credibility check? Bila hivyo na mimi ningejikuta matatani na hawa jamaa.
Tiba
Mkuu Dikembe,
Asante kwa mchango wako. Kwa hiyo hawa jamaa kwa upande mwingine hawako makini katika biashara yao. Hao be forward hawana aina ya gari ninalolitaka. Ngoja nitembelee hiyo website ya tradecarview.
Tiba
Taja aina ya gari unayotaka nikusaidie