Credibility Check: SBT Japan Kampuni ya Kuuza Magari

Credibility Check: SBT Japan Kampuni ya Kuuza Magari

Ni tradecarview pekee ndiyo hawauzi magari, beforward wanauza magari na ndiyo kampuni inayoongoza kuuza magari used africa kwa sasa, nao pia unaweza kuwapata kwenye website yao Japanese Used Cars | BE FORWARD, ni kampuni kama sbt, na hata sbt nao pia wanauzia tradecarview, autotrader na kwingineko. Ni chaguo la mnunuzi tu, unakoona gari zuri kwa bei umeipenda unanunua kokote.

Thankx kwa kwa kunielesha juu ya hili.
 
Mkuu Tougher, asante kwa ufafanuzi. Ina maana waliokufanyia hivyo ni hawa hawa SBT Japan au ni kampuni tofauti. Inaelekea hawa SBT hawana ofisi Tanzania. Nipe ufafanuzi wa ziada mkuu.

Tiba

Tiba kwa nini usitafute gari kupitia tradecarview pale kuna makampuni mengi wanatangaza gari zao na unaweza kulipa through tradecarpay ambapo pesa zina kuwa kwa tradecarview mpaka muuzaji apeleke copy ya bill of lading ndio anapewa pesa yake.
 
Mkuu asante kwa ushauri. Hawa jamaa wa SBT Japan tayari nimeelewana nao terms baada ya members hapa kunihakikishia kwamba wapo na hiyo ndio biashara yao. Nitawajuvya kadiri mambo yanavyo kwenda.

Kila la kheri.
 
Fanya nao biashara hawana magumashi yoyote kwani Mimi nimeagiza Suzuki carry kupitia kwao mwez 12 mwaka Jana. For more details plz nicheck kupitia 0786123745
 
hapohapo naomba kujua namna ya kulipa kwa pay trade?

Ni kama escrow, ukilipa kwa paytrade unakuwa unawalipa tradecarview, wao wakihakikisha ya kwamba gari imeshapakiwa ndiyo wanampa pesa yake muuzaji wa gari. Hao nao unawalipa nadhani ni kama $200 kwa huduma hiyo.
 
Wapendwa wana Jamvi,

Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.

Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?

Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.

Tiba

Mi niliagiza gari toka kwao mwaka juzi na sikupata shida, gari lilifika bandarini (nilipata) ndani ya mwezi mmoja bila tatizo,na nilikuwa nalitrack kupitia kwenye website yao (wanatoa username na password). Niliweza fuatilia toka tarehe ya kuli load kwenye meli. Na pia tarehe walosema meli yenye hilo gari itafika bandarini Dar haikutofautiana.

Hivyo binafsi sina experience mbaya nao.

The Investor
 
Mi niliagiza gari toka kwao mwaka juzi na sikupata shida, gari lilifika bandarini (nilipata) ndani ya mwezi mmoja bila tatizao,na nilikuwa nalitrack kupitia kwenye website yao (wanatoa username na password). Niliweza fuatilia toka tarehe ya kuli load kwenye meli. Na pia tarehe walosema meli yenye hilo gari itafika bandarini Dar haikutofautiana.

Hivyo binafsi sina experience mbaya nao.

The Investor

Asante mkuu kwa kunihakikishia usalama wa vijisenti vyangu!!!!!

Tiba
 
SBT ni wazur hata bei zao ni poa, mimi nimeagiza toka kwao magari manne nikiwaagizia jamaa zangu wasio na utaalamu na hiyo shughuli. Ila mimi niliwalipa kwa paypal. Binafsi nakushauri songa mbele hawana magumashi kabisa
 
Wapendwa wana Jamvi,

Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.

Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?

Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.

Tiba

Nimechelewa hii mada, good 2 c that umeshafikia conclusion. Kwa ufupi wako vizuri, nimenunua kwao truck hivi karibuni ilifika katika hali nzuri sana na hawana longo longo
 
Nimechelewa hii mada, good 2 c that umeshafikia conclusion. Kwa ufupi wako vizuri, nimenunua kwao truck hivi karibuni ilifika katika hali nzuri sana na hawana longo longo

Mkuu asante kwa kunihakikishia usalama. Mpaka sasa naenda nao vizuri. Nimetuma 50% ya bei ya gari na leo nasubiri waconfirm receipt ya hizo hela. Baada ya hapo wataship hilo gari. Wakiishapata bill of landing wananitumia copy ili nilipe 50% iliyobaki na wao wanitumie original documents. I believe kila kitu kitakwenda sawa kutokana na mchango wa members wengi humu ambao wameisha nunua magari kwao.

Tiba
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Unaona faida ya kufanya credibility check? Bila hivyo na mimi ningejikuta matatani na hawa jamaa.

Tiba

Mimi nimefanya kazi na THL wako vizuri na sikutumia paypal.
 
Mkuu Dikembe,

Asante kwa mchango wako. Kwa hiyo hawa jamaa kwa upande mwingine hawako makini katika biashara yao. Hao be forward hawana aina ya gari ninalolitaka. Ngoja nitembelee hiyo website ya tradecarview.

Tiba

Taja aina ya gari unayotaka nikusaidie
 
Taja aina ya gari unayotaka nikusaidie

Mkuu Georgeallen,

Asante kwa kujitolea kunisaidia. Tayari nimeisha fanya deal na hawa jamaa wa SBT Japan baada ya baadhi ya members humu kunihakikishia kwamba hawa jamaa wako genuine. Mpaka sasa naenda nao vizuri, nimewalipa 50% gari sasa iko kwenye ukaguzi ili kupata JAAI certificate then waki-ship gari na kunitumia copy ya b/l nitawatumia 50% iliyobaki ili wanitumie docs original.

Nitawapa feedback mzunguko ukikamilika.

Tiba
 
Wapendwa wana Jamvi,

Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na kupitia skype pia. Wanataka kuniuzia gari na makubaliano yapo katika hatua za mwisho. Sijawahi kufanya biashara na hawa watu, hii itakuwa ni mara yangu ya kwanza.

Kwa kuwa pesa itakayotumika kwenye manunuzi ni kubwa, nimeogopa kuendelea na hii deal bila kutafuta ushauri. Je kuna mtu amewahi kufanya nao biashara hawa jamaa? Wako genuine kiasi gani?

Naogopa kuuvaa mkenge mchana kweupeee!!!!!.

Tiba

nimenunua gari mara 2 kwa hao jamaa, very reliable tena wako fasta sana, domument zitakufikia mapema tu
 
nimenunua gari mara 2 kwa hao jamaa, very reliable tena wako fasta sana, domument zitakufikia mapema tu

Asante kwa kunihakikishia kwamba jamaa ni reliable. Naendelea nao kwa sasa, itakavyokuwa, nitawapa mrudisho nyuma.

Tiba
 
Back
Top Bottom