CRIME STORY: Namna kujichanganya na huyu binti, kunyimwa kolabo kulivyokuwa sababu ya vifo viwili na kukamatwa watu 6 kwa kesi ya mauaji

CRIME STORY: Namna kujichanganya na huyu binti, kunyimwa kolabo kulivyokuwa sababu ya vifo viwili na kukamatwa watu 6 kwa kesi ya mauaji

Mtoto yeyote wa alielelewa na mama peke yake huwa anapandikizwa hasira nyingi na mitazamo ya kike, kwa hiyo mpaka anakua mkubwa, anakua ni mwanamke ndani ya bodi la kiume.

Na kama unavyojua mwanamke aliumbwa emotional ndio maana akanyimwa nguvu(yaani ikitokea amekua emotional triggered hata akisema atumie nguvu anakua hana madhara, sasa imagine mwanamke huyo ndio kajipandikiza kwa mtoto wa kiume, madhara ni makubwa sana.)

Kama serikali wasipoliangalia kwa makini hili la singo maza, miaka ijayo itakua ni hatari sana.
Duh
 
"Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu-T" - Fid Q.
 
Back
Top Bottom