Umemaliza, subiria ya krismas baba MSoko ni kubwa upande wa ke kuliko upande wa Me. Ukiwa mfanyabiashara lazima uangalie bidhaa gani inatoka zaidi.
Soko ni kubwa upande wa ke kuliko upande wa Me. Ukiwa mfanyabiashara lazima uangalie bidhaa gani inatoka zaidi.
Sawa kabisa. Anaangalia biashara yake kwa sababu wanawake wengi wapo emotional na wana maumivu ya mahusiano kiasi cha kujiona wao ni victims na wanaume ni watesaji au mbwa 😁😁.. Kwa hiyo akitokea mwanaume "good guy" Wa kusimama upande wao tofauti na hali ya kawaida lazma wamkubali.Soko ni kubwa upande wa ke kuliko upande wa Me. Ukiwa mfanyabiashara lazima uangalie bidhaa gani inatoka zaidi.
Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip
itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke.
Na ukiona mwanaume anawasifia zaidi wanawake ujue naye mpenda chini kiaina
Nitaachaje?Ww hupendi?
Tugawane kidogo basi rafiki yangu Jo?Huyo Chris Mauki ndio namsoma hapa...simjui
Kubet kunaniweka mbali sana na ya ulimwenguni asee
Uko sahihi mno!Soko ni kubwa upande wa ke kuliko upande wa Me. Ukiwa mfanyabiashara lazima uangalie bidhaa gani inatoka zaidi.
Uko sahihiSoko ni kubwa upande wa ke kuliko upande wa Me. Ukiwa mfanyabiashara lazima uangalie bidhaa gani inatoka zaidi.