Cristian Ronaldo ndani ya Man U

Cristian Ronaldo ndani ya Man U

Uwepo wake tu kwenye team yetu ni burudani kwangu

Haya mengine yaje kama yatakovyokuwa,hata akiwa mbovu sio mbaya

Ronaldo mimi pia nampenda, sema amechagua kujiunga na timu mbovu, atapata aibu ukubwani.
 
Mkuu mimi bado nategemea makubwa kutok kwa huyu mwamba, zile nafasi za magoli wanazokosaga Rashford na Martial huyu mwamba hatofanya huo ujinga, na hii itatusaidia kushinda vikombe.

Pia atawaimarisha sana Rashford, Martial, Greenwood, Pogba na Sancho. Ile tabia ya Pogba na Rashford kujiona mafather wa timu sasa itakoma. Kifupi huyu mwamba anarudisha moral ya timu kiujumla.
Huku sosha akifukuzwa
 
Mpira wa uingereza ni mgumu usizan anafunga kirahisi kama utopolo wa italy
 
Back
Top Bottom