Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1676988032243.png

Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
 
huyu mwamba katika sanaa anakula pesa chafu kuzidi sanaaa zozote duniani,, anaubeba mpira juu uonekane una pesa zaidi kuliko sanaa zote duniani kiufupi anatuonesha miguu yake ndo pesa zake,, hapa ata kina messi wameshasahaulika km walishinda juzi kombe la dunia.
 
Ana nyota kali kweli
 
View attachment 2525272
Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
Aoe sasa
 
Akioa ni kosa kubwa sana kwake,jamaa ametokea familia ya kimaskini sana ambapo hadi chakula walikuwa wanaenda kuomba kwenye mgahawa wa MacCdonald ya jirani na nyumbani kwao mda mwingine, Amestrugle sana kwenye mpira kumaintain Kiwango change ili aingize pesa nyingi kwa ajili ya familia yake na watoto wake....Kwa wazungu anajua talaka ni nje nje huyo Georgina atadai talaka ili tu wagawane mali sasa hiyo kitu ndio Cr7 hawezi kufanya kosa hilo
 
Back
Top Bottom