Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

Akioa ni kosa kubwa sana kwake,jamaa ametokea familia ya kimaskini sana ambapo hadi chakula walikuwa wanaenda kuomba kwenye mgahawa wa MacCdonald ya jirani na nyumbani kwao mda mwingine, Amestrugle sana kwenye mpira kumaintain Kiwango change ili aingize pesa nyingi kwa ajili ya familia yake na watoto wake....Kwa wazungu anajua talaka ni nje nje huyo Georgina atadai talaka ili tu wagawane mali sasa hiyo kitu ndio Cr7 hawezi kufanya kosa hilo
He is very bright
 
Hizi story sijui mnaziokotaga wap

Wala sio uongo,mwenzako post haiendi hewani bila kampuni kadhaa kuafiki.

Viatu unakuta kampuni flani
Shati kampuni flani
Saa kampuni flani
Kofia kampuni flan
Simu kampuni flani
Kinywaji au pochi na kampuni flani

Post moja inapata likes mpaka 15ml likes,unadhani ni marketing ya aina gani hiyo??na watalipa kiasi gani kila mtu???
 
Back
Top Bottom