Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

He is very bright
 
Hizi story sijui mnaziokotaga wap

Wala sio uongo,mwenzako post haiendi hewani bila kampuni kadhaa kuafiki.

Viatu unakuta kampuni flani
Shati kampuni flani
Saa kampuni flani
Kofia kampuni flan
Simu kampuni flani
Kinywaji au pochi na kampuni flani

Post moja inapata likes mpaka 15ml likes,unadhani ni marketing ya aina gani hiyo??na watalipa kiasi gani kila mtu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…