uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Ronaldo amezidi kujiweka ktk hali mbaya zaidi kuhusu mustakabali wake anavyoenda kumaliza mpira
Club ya Juventus imepokwa point nyingi sana na kusababisha iondoke kwenye nafasi ya tatu na kwenda karibu na mkiani
Juventus imedhulumiwa hizo point 15 kutokana na kudanganya mahesabu yaliyopelekewa Ronaldo kusajiliwa na kulipwa pesa tofauti na uwezo wa club ya juventus
Ukweli usemwe Ronaldo ameingiza hii timu kwenye matatizo kwani kuna uwezekano wa kushuka daraja
Ikumbukwe Ronaldo aliondoka Madrid akiwa ameharibu
Akaondoka Juventus akiwa ameharibu
Akaondoka Manchester united akiwa ameharibu
Sijui alipo uko ni swala la muda tu
Wapenda mpira tupaze sauti