Cristiano Ronaldo ameharibu tena, awasababishia madhila makubwa timu ya juventus hii haikubaliki

Cristiano Ronaldo ameharibu tena, awasababishia madhila makubwa timu ya juventus hii haikubaliki

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Ronaldo amezidi kujiweka ktk hali mbaya zaidi kuhusu mustakabali wake anavyoenda kumaliza mpira

Club ya Juventus imepokwa point nyingi sana na kusababisha iondoke kwenye nafasi ya tatu na kwenda karibu na mkiani

Juventus imedhulumiwa hizo point 15 kutokana na kudanganya mahesabu yaliyopelekewa Ronaldo kusajiliwa na kulipwa pesa tofauti na uwezo wa club ya juventus

Ukweli usemwe Ronaldo ameingiza hii timu kwenye matatizo kwani kuna uwezekano wa kushuka daraja

Ikumbukwe Ronaldo aliondoka Madrid akiwa ameharibu

Akaondoka Juventus akiwa ameharibu

Akaondoka Manchester united akiwa ameharibu

Sijui alipo uko ni swala la muda tu

Wapenda mpira tupaze sauti
 
Juventus wakaja hewani kusajili kwa ronaldo timu imepata faida kumbe walikuwa wanaugulia hasara

Tusubiri kule alnasa ni suala la muda tu
 
Kwa waarabu kujibrand tu sidhani kama wanahesabia hasara
Warabu Wana pesa chafu Sana hao jamaa , sema elimu hawana na hawajui wazipeleke wapi...warabu wa Dubai na vile vijamaa vya Qatar ndo kidog akili ziko Sawa
 
Kama hamnaga uelewa wa mambo muwe mnatulia kwanza.

Masuala ya pesa za usajili wanahusika wanasheria ... wachezaji huwa hawahusiki...na wala hawapewi lawama...majadiliano ni mawakala na wanasheria....
 
Kuna wenye elimu ndo wanazitengeneza wao Ni owner of land ambayo ndani yake wenye elimu wanaopoa wao wanapata mgao
Hadi kuwaajiri hao basi elimu wanayo.....elimu sio lazima ya mzungu tu,,,,, Afrika tunaweza kua na elimu ya mzungu zaidi ya mwarabu ila hali ndo hivyo tena
 
Juve walijichanganya sana kuchukua mchezaji mwenye gharama kama Cr7 ilipelekea mpaka wafanyakaz wa kiwandan wakataka kugoma maana wao wanalipwa pesa kidogo sana
 
Back
Top Bottom