Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usikate tamaa yatamshinda soonNimesikitishwa sana na uamuzi wa Ronaldo sasa role model muhim wa kataa ndoa kasepa
Fanya utafiti Messi alifunga ndoa rasmi lini na ni baada ya kuishi miaka mingapi ya uchumba sugu?Duu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
Ke ni matapeliDuu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
Baada ya ndoa ndio Mwanamke ataonyesha rangi yake halisi,Usikate tamaa yatamshinda soon
Huyo demu akifanya hivyo nahisi kutakuwa na mafuriko ya member wapya wa KATAA NDOABaada ya ndoa ndio Mwanamke ataonyesha rangi yake halisi,
I wish them all the best.
Sasa Hata Wewe Ungekuwa Ndio Wazazi Wa Huyo Binti Na Mkwe Ndio Huyo Cr7.....Ungeleta Ngebe..??Duu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
Tumekaa barazani ni Umbwa kuuubwa..tunamwangalia 😀😀😀😀Huyo demu akifanya hivyo nahisi kutakuwa na mafuriko ya member wapya wa KATAA NDOA
Mwana kafeli dakika za Jiooooooni kabisa!Tutarajie mtu kupuluswa soon...
Pesa inanguvu sana mkuuDuu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
😁anafananisha CR7 na akina Fadhil na akina Nurdin wa buza ambao kufungishwa ndoa na akina Mwaju hadi wafumaniwe na kupigwa ndoa ya mkeka, na uhakika wa Mwaju kula Milo miwili japo kwa siku 3 ndoani ni haupo kabisa. CR7 kwilima la dunia, hakuna namna zaidi ya kulivumiliaSasa Hata Wewe Ungekuwa Ndio Wazazi Wa Huyo Binti Na Mkwe Ndio Huyo Cr7.....Ungeleta Ngebe..??