min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Uzee ashaanza poteza umakiniMwana kafeli dakika za Jiooooooni kabisa!
Uzee ashaanza poteza umakiniMwana kafeli dakika za Jiooooooni kabisa!
Yap!Huo ndiyo uchumba sugu sasa! Ronaldo ametumia akili kurasimisha mke uzeeni.Ujana huwa unatesa sana ukijumlisha na mtu anakuwa na "macho marefu"!
Sasa kwa status ya ronaldo hao wazazi unafikiri watakuwa na akili za kuhoji hayo yoteDuu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
Ronaldo sio bwege. Huyo demu lazima atakua ashasainishwa mikataba. Akidai talaka anaondoka kama alivyokujaMwana kafeli dakika za Jiooooooni kabisa!
Kabla ya kuvalishwa pete, Ronaldo alishamsainisha mikataba huyo demu ili likitokea la kutokea ukwasi wake uwe salama. Sidhani kama Ronaldo anaweza kufanya kosa la kumwachia mwanamke access ya utajiri wake sasa hiviKabisa. Naona mwamba ameamua kujivika kitanzi.
Assumption.Ronaldo sio bwege. Huyo demu lazima atakua ashasainishwa mikataba. Akidai talaka anaondoka kama alivyokuja
Hata kwa wanaooa wake zao?Miaka mingi kwenye uchumba izo ndoa uwa hazidumuuuu
Tayari atakuwa kamuweka kwenye mkataba maalumu akizingua asepe na nywele zake tu.Kabla ya kuvalishwa pete, Ronaldo alishamsainisha mikataba huyo demu ili likitokea la kutokea ukwasi wake uwe salama. Sidhani kama Ronaldo anaweza kufanya kosa la kumwachia mwanamke access ya utajiri wake sasa hivi
Tumebaki na 50Nimesikitishwa sana na uamuzi wa Ronaldo sasa role model muhim wa kataa ndoa kasepa
haja oa, alicho fanya ni kumchumbia. Kuoa subiri 2080Mwana kafeli dakika za Jiooooooni kabisa!