Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Tunaomba umri wao kwa sasaGeorgina ameweka picha ikimuonesha akiwa amevalia pete ikiambata na caption isemayo “Yes I Do” akimaanisha amekubali kuolewa na nyota huyo wa Al Nassr ya Saudi Arabia.
Tunaomba umri wao kwa sasaGeorgina ameweka picha ikimuonesha akiwa amevalia pete ikiambata na caption isemayo “Yes I Do” akimaanisha amekubali kuolewa na nyota huyo wa Al Nassr ya Saudi Arabia.
Umri wao yeye na huyo mwanamke kwanzaHuyo dada hata bila ndoa lakini alishasainishwa mikataba. Huyo mwamba yuko vizuri kwenye hiyo sekta ya uchumi usicheze nae. Ndio maana unao kuna gold diggers wengine walikimbia
Tafadhali mkuu hapo statement ya mwanzo fanya masahihisho. Usimgroup legend wetu wa kudumu na hao 'wengineo' akina Emmanuel Eboue, Neyo nk.Kwa yaliyomkuta Achraf Hakim na wengineo huyo mwanamke anaenda kusainishwa makaratasi mpaka mkono auone mzito na yote ikimtaka ajue siku anatoka humo kwenye ndoa anatoka kama alivyoingia.View attachment 3438907
Hajafunga amemvisha pete ya uchumba.Nimesikitishwa sana na uamuzi wa Ronaldo sasa role model muhim wa kataa ndoa kasepa
ndo hatua hio kakaHajafunga amemvisha pete ya uchumba.
Yap!Huo ndiyo uchumba sugu sasa! Ronaldo ametumia akili kurasimisha mke uzeeni.Ujana huwa unatesa sana ukijumlisha na mtu anakuwa na "macho marefu"!Cristiano Ronaldo amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez. Wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 9 sasa na tayari wana watoto wawili pamoja.
Georgina ameweka picha ikimuonesha akiwa amevalia pete ikiambata na caption isemayo “Yes I Do” akimaanisha amekubali kuolewa na nyota huyo wa Al Nassr ya Saudi Arabia.
View attachment 3438865
Thamani ya pete ya uchumba ya Georgina, ambayo amevishwa na Cristiano Ronaldo, inakadiriwa kuwa kati ya Dola milioni 3 (Tsh. 7.5 bilioni) hadi 5 (Tsh. 12.6 bilioni).
Ronaldo na Georgina walianza uhusiano wao mwishoni mwa mwaka 2016 baada ya kukutana katika duka la Gucci, ambapo Georgina alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa mauzo
Wamejenga familia pamoja, wakilea watoto wao Cristiano Jr., mapacha Eva na Mateo, Alana Martina, na Bella.
Tunatarajia harusi mojawapo inayotazamwa sana michezoni, ikichanganya soka, mitindo, na hadhira ya kimataifa waliyoifuatilia hadithi yao kwa miaka mingi.
hawakuishi kama wachumba,bali kama wapenzi na sasa baada ya kuvikana pete basi wataishi ktk uchumba kwa muda ambao mimi,wewe na yule hatujui kuwa wataoana lini.Duu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
Uwe unaelewa matumizi sahihi ya maneno. Saa hii ndio amekuwa mchumba kipindi chote hicho walikuwa sio wachumba saa hii ndio amechumbiwa na kuvishwa pete.Duu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
Kabisa. Naona mwamba ameamua kujivika kitanzi.Hii Ndoa ikifungwa,
Baada ya miezi 6 utasikia mrembo anadai talaka na Mpunga mrefu sana.
Jibu zuri sana, lakini pia kataa ndoa nao wameongezeka. Kupata mwenza nowadays ni bahati.Sasa Hata Wewe Ungekuwa Ndio Wazazi Wa Huyo Binti Na Mkwe Ndio Huyo Cr7.....Ungeleta Ngebe..??
Duu kwahiyo kwa miaka yote hadi kupata watoto kumbe bado alikuwa mchumba. Na wazazi wa binti walirizia binti yao kuishi katika hali hiyo au maana mi nilijua ni huku bongo tu kuna uchumba sugu
na mimi namshangaa hapaSasa Hata Wewe Ungekuwa Ndio Wazazi Wa Huyo Binti Na Mkwe Ndio Huyo Cr7.....Ungeleta Ngebe..??
Mwana kafeli dakika za Jiooooooni kabisa!